Kwa mda mrefu nilikwa nikifuatilia taarifa kuhusu marekani na Taliban katika Afghanistan, licha ya Marekani kuwa Advanced Militarily.
Ni miaka zaidi ya 16 hawajawahi kukontrol baadhi ya maeneo katika Afghanistan ambayo yako chini ya Taliban, maswali yangu kwa wana JF(bila Shaka majibu yatakwa thabiti)
1_Wanapata wapi silaha..
2.Ni Nini wanachokitaka katika Afghanistan?
3.Talibani wako katika dhehebu gani la uislam.
4.Viongozi wao Ni akina Nani..
5.Ni yapi maslahi ya Marekani katika Afghanistan.
Juzi Kati Marekani na Taliban walikwa na negotiations. Je Marekani anawaza nini kufanya mazungmzo na magaidi.
6.je amewashindwa wavaa sendo? Ama vipi..
Nawasilisha..
Wenu rafiki Sela Soni
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app