Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Kama wiki imepita tumeshuhudia wanajeshi wa Marekani na Washirika wake wakiondoka Nchi Afghanistan na kuiacha nchi chini ya utawala wa Talibani.Nimejaribu kufwatillia machache kuhusu Afghanistan nimegundua ni Nchi tajiri sana wakiwa na ardhi kubwa yenye tambarare nzuri na milima mingi pamoja na mabonde.
Baadhi ya maeneo wanalima sana Apples na Dhabibu na pia kuna jamii ya Chui wanaoishi kwenye barafu wanapatikana kule.
Kumbe sasa kuna maswali machache yanakuja kichwani kama vile..
Kwanini Taliban wamechukua Nchi yote kwa muda mfupi huku Marekani akipambana karibia miaka 20 na zaidi?
Je wakati Marekani yupo Afghanistan hawa Taliban walioenea nchi nzima Leo walikua wapi/walijificha wapi na Marekani pamoja na Intelligensia yake alishindwa kufahamu machimbo yao?
Hawa Taliban wanapata wapi Silaha za kupambana na majeshi makali kama ya NATO?
Kwanini hawa jamaa wanapenda sana kutumia RPG kama silaha zao na kwanini Marekani hapendi RPG katika uwanja wa mapambano?
Nimeona pia Wataliban wanasema ndani ya wiki 2 watakua wametengeneza zile Helikopta na ndege zote zilizoachwa na USA japo wao wanasema waliziharibu Je Taliban wanamainjia kweli wa kutengeneza hizo vitu au watapeleka kwa Rafiki yao China&Russia.
Talibani Wanapata wapi mafunzo ya Kijeshi?
Kwanini hawaogopi kufa kabisa?
Na Mwisho kabisa nimegundua jamaa wengi wa Afghanistan ni very bright hasa upande wa kujieleza yani ni majasiri na pia upande wa Elimu ya Udaktari wapo safi sana karibia zile nchi zote katika ukanda ule fani ya Udaktari wapo njema India,Pakistani...nk