Talibani wanapata wapi Silaha?

Nguvu ya Taliban iko palepale,sema sasa vita vya kuteka maeneo vimesimama,kila mtu analinda eneo lake,na mara nyingi Taliban hushambulia kabul,wanajeshi wa marekani wamepungua mno,kwa sasa hawafiki elfu 10,na wapo kulinda sehemu maalumu,
mkakati wa Taliban ni kupigana kwa miaka 100,sasa mmarekani kupiga hesabu,kaona vita haitamlipa kukaa hapo miaka 100,kaamua sasa wakae chini na Taliban wajadiliane
 
Kwa mda mrefu nilikwa nikifuatilia taarifa kuhusu marekani na Taliban katika Afghanistan, licha ya Marekani kuwa Advanced Militarily.

Ni miaka zaidi ya 16 hawajawahi kukontrol baadhi ya maeneo katika Afghanistan ambayo yako chini ya Taliban, maswali yangu kwa wana JF(bila Shaka majibu yatakwa thabiti)
1_Wanapata wapi silaha..
2.Ni Nini wanachokitaka katika Afghanistan?
3.Talibani wako katika dhehebu gani la uislam.
4.Viongozi wao Ni akina Nani..
5.Ni yapi maslahi ya Marekani katika Afghanistan.
Juzi Kati Marekani na Taliban walikwa na negotiations. Je Marekani anawaza nini kufanya mazungmzo na magaidi.
6.je amewashindwa wavaa sendo? Ama vipi..

Nawasilisha..

Wenu rafiki Sela Soni

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapata kwa'allah' watetee dini ya khaki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe talban ni taasisi imara yani wanamalengo kabisa

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Wako vizuri wamewahi unda serikali, sema wakajichanganya kumuhifadhi Osama..
Walikuja kuangushwa baada ya shambulio la September 11, Wamarekani walishirikiana na waasi wa Northern Alliance kuangusha utawala/serikali ya Taliban mjini Kandahar.
 
Kwa mda mrefu nilikwa nikifuatilia taarifa kuhusu marekani na Taliban katika Afghanistan, licha ya Marekani kuwa Advanced Militarily.

Ni miaka zaidi ya 16 hawajawahi kukontrol baadhi ya maeneo katika Afghanistan ambayo yako chini ya Taliban, maswali yangu kwa wana JF(bila Shaka majibu yatakwa thabiti)
1_Wanapata wapi silaha..
2.Ni Nini wanachokitaka katika Afghanistan?
3.Talibani wako katika dhehebu gani la uislam.
4.Viongozi wao Ni akina Nani..
5.Ni yapi maslahi ya Marekani katika Afghanistan.
Juzi Kati Marekani na Taliban walikwa na negotiations. Je Marekani anawaza nini kufanya mazungmzo na magaidi.
6.je amewashindwa wavaa sendo? Ama vipi..

Nawasilisha..

Wenu rafiki Sela Soni

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata alshabab,,,waliwai kuonyesha clip ya silaha zao mpyampya,,
Zile cruiser mkonga nje zipo kama 80,,bado zina nailoni kwenye siti,,

Alafu wana masanduku yamejaa dola tupu,,
Wazungu wabaya sana kwa upande mwingine,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom