Talibani wanapata wapi Silaha?

Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
740
1,000
Kwa mda mrefu nilikwa nikifuatilia taarifa kuhusu marekani na Taliban katika Afghanistan, licha ya Marekani kuwa Advanced Militarily.

Ni miaka zaidi ya 16 hawajawahi kukontrol baadhi ya maeneo katika Afghanistan ambayo yako chini ya Taliban, maswali yangu kwa wana JF(bila Shaka majibu yatakwa thabiti)
1_Wanapata wapi silaha..
2.Ni Nini wanachokitaka katika Afghanistan?
3.Talibani wako katika dhehebu gani la uislam.
4.Viongozi wao Ni akina Nani..
5.Ni yapi maslahi ya Marekani katika Afghanistan.
Juzi Kati Marekani na Taliban walikwa na negotiations. Je Marekani anawaza nini kufanya mazungmzo na magaidi.
6.je amewashindwa wavaa sendo? Ama vipi..

Nawasilisha..

Wenu rafiki Sela Soni

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
theohphilly

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
273
500
Ni vigumu kutambua ..ila inasemekana kuna matajili wanawafadhili kutoka ina za kitajili kama Qatar,Saudi Arabia .na nyingnezo ambao huwa na amini wanapigana vita ya jihadi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kokolo

JF-Expert Member
Mar 20, 2008
875
1,000
Kuna middleman wa ununuzi wa silaha, nchi za Ulaya, middle east na matajiri wa uko wanatia pesa nyingi silaha zinanunuliwa popote pale, hata marekani kuna middleman, jiulize Congo waasi wanapata wapi silaha.
 
Richard irakunda

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
3,512
2,000
Kwa Pakstan Sawa ..Urusi hamna Evedence ..Paskstan wa interest ya kidini ..kwa Urusi Sidhani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo usa ndio alikuwa anawasapoti talban unajua hilo?

Kwanini usa aliwasapoti talban kupigana na Soviet?

Pakistan peke yake hana ubavu wa kutoa sapoti kwa talban urusi baada ya kugundua ugumu wa kupigana na usa kwa kupitia talban wakaamua kukacha mtanange hip then wakaanza kuwasapoti talban ili kuvunja ushawishi wa usa pande hizo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
theohphilly

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
273
500
Mwanzo usa ndio alikuwa anawasapoti talban unajua hilo?

Kwanini usa aliwasapoti talban kupigana na Soviet?

Pakistan peke yake hana ubavu wa kutoa sapoti kwa talban urusi baada ya kugundua ugumu wa kupigana na usa kwa kupitia talban wakaamua kukacha mtanange hip then wakaanza kuwasapoti talban ili kuvunja ushawishi wa usa pande hizo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Yap umeongea ukweli lakini unaweza kuta ichi kama ichi haisapoti hawa watu ila unajikuta kuna watu binafsi ndan ya ichi wanasaport Magaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
740
1,000
Mwanzo usa ndio alikuwa anawasapoti talban unajua hilo?

Kwanini usa aliwasapoti talban kupigana na Soviet?

Pakistan peke yake hana ubavu wa kutoa sapoti kwa talban urusi baada ya kugundua ugumu wa kupigana na usa kwa kupitia talban wakaamua kukacha mtanange hip then wakaanza kuwasapoti talban ili kuvunja ushawishi wa usa pande hizo

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Sawa naanza kupata picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,831
2,000
Taliban pashtun for students,walikamata madaraka ya afaghnistan mwaka 1996-2001.
Baada ya kupigana na makundi mbalimbali ya mujahidina,walitambuliwa kidiplomasia na nchi tatu tu,Pakstan,Saudi arabia na United arab emirate,
wakaaita nchi jina la Islamic emirate of Afaghnistan,mambo ya sharia hapa yakahusika,
mji mkuu ukahamishiwa Kandahar,chini ya kiongozi wao Mullar Mohammed Omary
 
Hassan Mambosasa

Verified Member
Aug 2, 2014
2,482
2,000
Kwa mda mrefu nilikwa nikifuatilia taarifa kuhusu marekani na Taliban katika Afghanistan, licha ya Marekani kuwa Advanced Militarily.

Ni miaka zaidi ya 16 hawajawahi kukontrol baadhi ya maeneo katika Afghanistan ambayo yako chini ya Taliban, maswali yangu kwa wana JF(bila Shaka majibu yatakwa thabiti)
1_Wanapata wapi silaha..
2.Ni Nini wanachokitaka katika Afghanistan?
3.Talibani wako katika dhehebu gani la uislam.
4.Viongozi wao Ni akina Nani..
5.Ni yapi maslahi ya Marekani katika Afghanistan.
Juzi Kati Marekani na Taliban walikwa na negotiations. Je Marekani anawaza nini kufanya mazungmzo na magaidi.
6.je amewashindwa wavaa sendo? Ama vipi..

Nawasilisha..

Wenu rafiki Sela Soni

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani anapambana na shirika la kijasusi la ISI la Pakistan na ndiyo linafadhili kundi hilo ls Taliban. Hao jamaa ni hatari mno, hawezi kushinda vita hiyo
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,831
2,000
Write your reply...kuanzia miaka ya 80 mwanzoni saud arabia ilianzisha kampeni ya kufund shule dunia nzima lengo ikiwa kupandikiza ideology ya wahabism,vipaumbele vikiwa ni mataifa kama afaghnistan,pakistan etc,Taliban ni wanafunzi waliotokana na hizo harakati za saud,
kosa la Taliban kupelekea kuvamiwa na marekani ni kumkalibisha osama,na walipoambiwa kumtoa waligoma na kudai ushahidi kuwa kweli kahusika na kuilipua marekani,
lakini ukweli ni kuwa wasaud walijua kila kitu kuhusu sakata la 9/11 na pia walishiriki kupanga,osama akitumika tu kama front
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,423
2,000
Taliban ni mziki mwengine kabisa. Katika vitu ambavyo U.S wanaendelea kujuta kujichangaya nao ni hao majamaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom