TALAKA 3 kwa Mamndenyi.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,135
13,254
WanaJF, ni baada ya kutoa warning naye kutojirudi.
1: Mamndenyi ww siyo mke wangu tena kopi yako
2:Mamndenyi ww siyo mke wangu tena kopi ya KATAVI
3 Mamndenyi ww siyo mke wangu tena kopy ya mwanangu wa kambo Ruhazwe JR.
WOTE NI MASHAHIDI KUHUSU HILI.
 
Jamani,umefanya kweli?
 
Mimi ndio naamka na kipenzi changu Mamndenyi, sasa natangaza rasmi nami kujimilikisha mzigo. figganigga na wengine mnaomkodolea macho kaeni mbali nitawafanya kitu mbaya...
 
Last edited by a moderator:
Hasira za mkizi tijara ya mvuvi!!!!!, wapi Katavi, una kimzizi kikali balaa, afu kumbe mzee wa mia nae yumo!!
Baba V babu wa pale Mazwi jirani na mitaa ya chiluba kafanya mambo, ukichanganya na mizizi ya Katavi basi mambo yanakuwa fresh.
 
Last edited by a moderator:
images

WanaJF, ni baada ya kutoa warning naye kutojirudi.
1: Mamndenyi ww siyo mke wangu tena kopi yako
2:Mamndenyi ww siyo mke wangu tena kopi ya KATAVI
3 Mamndenyi ww siyo mke wangu tena kopy ya mwanangu wa kambo Ruhazwe JR.
WOTE NI MASHAHIDI KUHUSU HILI.
 
Baba V babu wa pale Mazwi jirani na mitaa ya chiluba kafanya mambo, ukichanganya na mizizi ya Katavi basi mambo yanakuwa fresh.

Twataizya kalesa, jioni ntakuwa Chiluba nathaminisha ngano,sekenke,mpui wine, na chimpumu, kesho nazungukia bangwe,sumbawanga wenyeji, iziha,katandala, kizwite na soweto!, karibu na shem wetu Mamdenyi aifahamu mitaa ya kwetu, tutenzi wikolo, namshitu na mkuu @Mpuilyazumbi
 
Ha ha ha haaah!! Usihofu kabisa Pombekali kama kote huko kutakuwa na mizinguo tutaenda kujificha Mafulala au senga kabisa....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom