TALAKA 3 kwa Mamndenyi.

nini kinaendelea hapa?
Kunani ex wangu?

kabla x wako hajaja hapa, naomba uone jinsi mambo nilokuwa nafanyiwa na x wangu. Wanasema ukitaka kujua alokuwa anatembea na mkeo mwache mkeo. Sasa hapo si umeona bepari?
 
mathematics
kijiko cha jikoni hakiogopi moto. Ingia bila woga bhana! Uniige kwa mazuri tu tafadhali. Man is always man, so you don't have to fight to be a man. Go for her!!!!!!!!!!!!!!!!!! You need my support, I am always available for you mathematics.
 
Back
Top Bottom