Takwimu za wahamiaji haramu zinatisha...!

Takwimu za wahamiaji haramu zinatisha...!

Eti kimbunga kimekamata wahamiaji haramu 12,470. Hao ndo waliokamatwa bado waliojificha.Kwa takwimu hizi sioni uhalali wa mkuu wa uhamiaji kuendelea kukaa ofisini mpaka sasa.
Hivi hiki kimbunga hakiwaangalii wachina, wahindi, warabu hata kidogo?
 
Usalama wa nchi yetu upo chini ya malaika tu,wahamiaj maelf kwa maelf walipitia mpaka gani,kama rwanda tunasema vita,haya hao wanyasa waliingiaje???,waethiopia wanaenda kufia dodoma,,,,,,wanakamatiwa mbeya,,,,utasema tuna usalama sisi??
 
hivi hiki kimbunga hakiwaangalii wachina, wahindi, warabu hata kidogo?

...hindi iko honga sana, china si sawaaa, tazuia veve kwenda china kununua kitu ya china biasara yote kkoo nafunga,kama nabisha uliza ile nyalandu nafukuza china na sisi funga balozi yetu pipo napiga kelele hatimaye karuhusu china kuuza vitu rejareja,apana chezea hela,uchumi kubwa dhidi ya uchumi ndogo,mtaishia kwa warwanda tu...
 
...ntakomaa kwannza ang'olewe mkuu wa kaya kwanza ndo waje kwangu maana madogo wa rwanda wanasema ni mwenzao kabisa kwa misingi hiyo unayo itaja...

hahahahaa...duh huko mbali aisee
 
Back
Top Bottom