The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,217
- 16,089
- Thread starter
- #41
😂😂😂Kuna jamaa aliniambia nikifikisha miaka 10 nitalipwa na jf japo kiduchu..
.lakini wapi sijapata hata mia mwaka wa 15 huu nipo jf.
😂😂😂Kuna jamaa aliniambia nikifikisha miaka 10 nitalipwa na jf japo kiduchu..
.lakini wapi sijapata hata mia mwaka wa 15 huu nipo jf.
Majini yanakuja kusoma🤣🤣Unakuta post Ina views 4m Hao wengine wakina nani
Zipo nyingi sana mkuu 4 mSijawahi kuona post yenye views 4m. Japo kuna watu huwa wanaingia kama wageni ambao si member...wanapita na kusoma. Hawaandiki chochote.