Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

Dola moja wakati wa JKN ilikuwa sh ngapi?
Dola moja wakati wa AHM je?
Wakati wa BWM?
Wakati wa JK?

Ngoja twende pamoja, Mwaka 1985 wakati Nyerere anaondoka madarakani, deni la Taifa lilikuwa shilingi Trilion 3 na Dola ya kimarekani wakati ule ilikuwa Dola Moja sawa na Shilingi 102, Kwa hiyo ukichukua Trilion 3 ukagawa na 102 Maana yake ni kwamba Mwalimu aliacha Deni la DOLA BILIONI 29.41

Wakati Mwinyi anaondoka Madarkani mwaka 1985, Dola Moja ilikuwa ni sawa na shilingi 500, Kwa hiyo kama deni lilikuwa ni shilingi Trilion 18, Maana yake ni kwamba Ukichukua Trilion 18 gawanya kwa 500, Kwa hiyo mzee Mwinyi aliacha deni la Dola Bilioni 36

Wakati Beni anaondoka Madarakani Deni lilikuwa Shilingi Trilion 10, na exchange Rate ya Dola wakati huo ilikuwa dola moja sawa na sh 1050, Kwa hiyo ukichukua Trilion 10 gawanya kwa 1050 unapata Dola Bilion 9.52

Wakati JK anaondoka Dola moja ilikuwa inabadirishwa kwa sh 2200 na Deni lilikuwa Trilion 45, Ambapo ukiziweka katika dola hizi maana yake JK aliacha deni la dola Bilion 20.4

Katika Miaka Minne ya Raisi Magufuli Deni ni Trilion 61, Exchange rate ni sh 2300 per USD, tukiliweka hilo deni interms of USD Maana yake ni kwamba deni letu ni dola Bilion 26.4

Kwa Hiyo Relatively Utaon kwamba

Katika Utawala Mzima wa Mwinyi wa Miaka 10, Aliongeza deni kwa Dola bilion 36-29.41= 6.59

Mkapa alipunguza deni kwa 9.52-36 =-26.48
HAPA TUMPE KONGOLE SANA MZEE MKAPA ALIPIGA DIPLOMASIA YA MAANA, KAZI NZURI MNO MPAKA TUKAPUNGUZIWA DENI LA DOLA ZAIDI YA BILION 26

Jk yeye aliongeza deni kwa dola bilioni 20.4-9.52 = 10.33
JK aliongeza Deni la Dola bilion 10.33 Ndani ya miaka 10

Magufuli Ndani ya Miaka 4 ameongeza deni kwa dola bilion 26.4-20.4 = Dola Bilion 6
Ndani ya Miaka Minne Tu ya Utawala wake Magufuli kaongeza Deni kwa Dola Bilion 6

Hitimisho:
Pamoja na kwamba Kipindi Cha JKN tunaona deni kama dogo, lakini kwa mujibu wa Exchange Rate za wakati huo Lile lilikuwa ni deni Kubwa Kishenzi kuliko deni tulilonalo leo: Shilingi ya miaka hiyo ilikuwa na Thamani kubwa mno, na data zimeonyesha hivyo

Mzee Mkapa alipiga kazi Ya Kustahiki Medani ya Heshima kwa kuwezesha kuendesha diplomasia kali mpaka tukasamehewa zaidi ya Dola Bilion 26

Ukopaji wa AHM ulikuwa ni wa wastani wa dola bilion 6.59/10 =0.659 Billion Dollars kwa mwaka

Ukopaji wa JK ulikuwa ni wa watani wa Dola 10.33/10 = 1.3 Billion Dollars kwa mwaka

Ukopaji wa Magufuli ni wa wastani wa Dola Bilion 6/4 =1.5 Billion Dollars kwa mwaka
Kwa hiyo maana yake ni kwamba akitawala miaka 10, anaweza kutuongezea deni la trilion 15 katika deni aliloacha JK

Kiufupi ni kwamba JPM awe makini kwenye kukopa , kasi yake ya ukopaji ni kubwa mno, Rate yake ya Ukopaji ni kubwa kuliko rate ya Maraisi wote waliopita, Apunguze!
Good analysis comrade🙏🏼
 
Mkuu Kiluwiluwi cha Chura, Tadpole, it's just an attitude of mind, unaiangalia Tanzania kwa mtizamo gani in between positive attitude or negative attitude. Ukiamua kuangalia from negative perspective kutafuta mabaya tuu na mapungufu, then utakacho ona ni mabaya tuu hivyo unaweza kumuona Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano kama ni mashetani na hawana zuri au jema lolote na hata wakifanya mema, utatafuta kasoro.

Lakini ukiamua kuangalia with positive perspective kuangazia mema na mazuri, then utayaona hayo mema na mazuri, hivyo ukimpima Magufuli alipoingia aliikuta wapi Tanzania na sasa ameifikisha wapi, utakubaliana na ukweli halisi, something is being done, hivyo kwa watu wenye positive outlook kwao Magufuli ni kama masiya fulani aliyeletwa na Mungu kuikomboa Tanzania, kutoka nchi masikini ya kutupwa hadi nchi ya uchumi wa kati.
P
Pascal Mayalla unaweza kuya classify kuwa ni salama maji yaliyojaa kwenye tanki la ujazo wa lita 10,000 halafu kumetumbukia humo kidonge kimoja cha sumu ya kuulia panya?

Bado utaendelea kusaka uhalali uyanywe hayo maji!!?

My take:-
Uwe na uhakika kuwa mjinga unayepanga/unayemsomesha ya kuwa ujinga utamtoka!! Kinyume chake ataishia kuwa intelligent fool au diplomatic fool.
 
Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

Mimi nnaulizia Matokeo (Faida) ya ukopwaji huu mkubwa Pesa ambazo nntakuja kuzilipa ,ni kitu gani tumepata kama Taifa !!?
it means 26tr = 4years
? = 10years
crossmultiplication,

26trx 10years
___________ =65tr
4years
hivyondani ya miaka 10 itakua imekopwa Tsh 65 trillions na jumla ya deni itakua 100trillions
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

1567088792948-jpeg.1192870
Yaani sky eclat leo bora tu nikuite mpumbavu pamoja na busara zako zote unazoonyeshaga hivi kwa akili ndogo tu unaweza kulinganisha kwanza idadi ya watu mwaka 1980 na 2019? miundombinu ya kipindi hicho nisawa na ya sasa? je kwaakiliyako ndogo utasema asiongezewe mkipindi kingine eti deni litakuwa mara double ya hapo?tumieni akili basi japo kidogo
 
Ndugu angu mbona unahadaika na mambo madogo

Mfano hiyo mindege inamgusa vipi raia wa msanga ndani huko? Au hayo mastaglz goji yanatija gan kwangu mm kijana nnayehangaika na jua na mavyeti yangu..
Au nyie ndo mlitumwa mkaandamane pale SA ambassador?
Huoni Chato inavojengeka?
Huoni ndege znavyopishana angani?
Huoni Stiglaz goji?
Huoni standadi geji?

Yaani huoni ivo vyote chief,

Au wee unamtindio wa Macho?
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

Tafakari, kisha chukua hatua!!
 
Hii ni serikali ya makanikia ya viwanda vya madeni na utekaji. Tutembee vifua mbele.
 
Miaka minne tu limefika hapo hadi 2025 litafika 120 halafu watu wataelewa wakiwa washachelewa.
 
Uchumi unakua Kwa kasi sana sawa na deni La taifa
 
Nchi ipo kwenye right track
Acheni kumuhemuhe nyie mabeberu.
 
majanga hayoooo,hatufi ,jiwe atatuzamisha.
bora apumzike.
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

Tafakari, kisha chukua hatua!!

Unalinganisha hilo deni la taifa na nchi gani? Wacha kulialia bila kufahamu haya madeni ya taifa huwa yanalipwa kwa njia gani? FYI UK walimaliza kulipa deni la vita ya kwanza ya dunia mwaka 2015).

''Chancellor George Osborne is to pay off the UK government's remaining debt from World War One, the Treasury has announced. The government will repay the outstanding £1.9bn of debt from a 3.5% War Loan on 9 March 2015.
The move goes further than October's announcement that the government would pay off £218m of debts from World War One.''

Wacheni kulialia kwa mambo msiyoyafahamu.
 
Hata kilichoandikwa huelewi unaropoka tu kama vijana wa lumumba, kwenye thread hii umeona popote deni la.Tanzania linalinganishwa na nchi ingine? Takwimu hizi zinaongelea tawala zilizopita na tawala hii..pls.unagana na makonda pld yule mwingine and go back to class

Back
Top Bottom