Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

Nyie watu hamjui mnataka nini
2015 mlikua mnapiga kelele mkapa kaua uchumi kauza mashirika yenye nguvu kwa bei ya kutupa kama NBC,SIGARA NA TBL,mkaenda mbali zaidi kutaka afungwe kwa kujimilikisha mgodi wa kiwira kwa shilingi milioni 70,leo umekuja na ugunduzi mpya kuwa mkapa alikua mpiganaji uchumi!!
Yooote haya kutafuta kumfanya Magufuli aonekane si lolote mpaka mnasahau maandishi yenu yapo humu ukibisha nakutolea thread zako ulizokua ukisema mkapa fisadi

Umeelewa Mada Mkuu kuhusu Deni la Taifa..

Huo ufisadi kwa CCM upo tu .
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870
Huyu ndiye "Think tank" wa Chadema. Bure kabisa.
Pana ongezeko la Trillion 26.8 kwa kipindi cha huyu Mzee ,tusubirie mapovu ya waimba Choir wa Lumumba na blah blah zao.
Hivi ufipa hesabu hamjui? trilioni 26 ni sawa na dola 11.3 kwa "exchange rate" ya shilingi 2300 kwa dola moja kwa sasa. Awamu ya nne ongezeko lilikuwa trilioni 25 sawa na dola bilioni 14.4 kwa "exchange rate" ya shilingi 1734 kwa dola moja ya wakati huo na awamu ya pili ongezeko lilikuwa trilioni 15 sawa na dola bilioni 26 kwa "exchange rate" ya shilingi 575 kwa dola moja ya wakati huo.
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870
Thanks so much for this info,lakini kaa hii ni kweli(na ninaamini ni kweli) basi taifa hili kufikia hapo 2020 hatutakuwa na developments funds, yaani hatutakuwa na hela ya kufanya maendeleo kaa hosipitali, shule au barabara, hela zote za taifa zinasokusanywa na tra zitakuwa na kulipa madeni tu,Na sasa ukiangalia mirandi mikubwa kaa sgr, hii reli hata haijafika nusu, na deni ndilo hili, na kaa ni ile steglers dam, hii dam ndio izalize umeme itachukua sio chini ya 10-15 years, na wapi hata hela ya kuijenga??????,mimi niliwaambia wale watu waliokuwa wanamusifia huyu mzee ya kuwa kile tz inahitaji ni INVESTORS AND INVESTMENTS haswa kweye kilimo ambapo hio italeta ajira nyingi sana haswa katika AGRI PROCCESSING INDUSTRIES, na kukiwekezwa kwa kilimo kwa njia bora raw materials zitapatikana na kufanya investors waje wafungue viwada, kina reli ingekuja baadae, hii dam haingesitahili kuweko, tuna jua na upepo wa kutosha wa kuzalisha umeme, lakini kwa mtazamo wangu huu mzee ile kitu anataka ni SIFA TU, yaani watu wasikie amejenga reli, dam na kanunua ndege, HANA LOLOTE LA MAANA, 2020 watz tusipoamka na kudai uchanguzi huru na haki, basi taifa letu litaangamia kabisa huyu jiwe akirudi madarakani.nina uhakika hata vp mama samia na pm majaliwa watapigie kura upizani hapo 2020
 
Waliotangulia kama wangejenga hospital kila wilaya na vituo vya afya mila Kata deni lingepungua. Na Nyerere hydro power bajeti yake isingekuwepo. Tunataka kupikia kuni, tunaogopa kukata kuni, sasa hicho chakula kitaiva na nini?
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870
Ikiwa data zako ziko sahihi basi uchambuzi wako ni wa kutukuka
 
Wewe na hicho chanzo chako wote waongo, miradi yote ya ndani hivi sasa inakamilishwa na fedha za ndani na hata zile ndege tumenunua na fedha za ndani...
 
Nikusahihishe Best. Fisadi na mwizi Mkapa hakufanya lolote la maana katika kuinua uchumi wa nchi. Aliuza mashirika mengi ya umma kwa bei ya kutupa na kuwaacha Watanzania wengi wakiwa hawana ajira.

IMF na nchi nyingi zilizokuwa zinatudai walitupunguzia deni kwa kiasi kikubwa sana.

Ni kweli Mkapa aliacha deni la Taifa baada ya kupunguzwa likiwa triliioni 10 na Kikwete alipomaliza awamu yake aliacha likiwa 43 trillions.

Sasa hivi limeshaongezwa na kufikia trillion 60 lakini hii Serikali ya kuficha namba inaficha kusema ukweli kwamba deni la Taifa limefikia trillion 60.

KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%

Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870
 
Viherehere tu... Unadaiwa wewe?? Hata USA anadaiwa!

Hovyo tu mnachokiandika, wakati Wa Nyerere uchumi Wa dunia ulikuwaje?
 
halafu anakwambia anabana matumizi utakuwa ni kichachaa kama yeye kuamini kuwa anabana matumizi, anapambana na ufisadi, anafanya mabadliko ya kiuchumi au anajenga Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati.
 
Hebu tufanye hesabu rahisi

miaka 4 = mkopo 26T
miaka 6 =?
(6×26)/4 = 39T

61T + 39T = 100 Tilioni

so mkulu akiongoza miaka 6 atakopa Tillion 39

Therefore kama mkulu atakaa hadi 2025 deni litakuwa Tillioni 100
Mkuu inategemea na thamani ya pesa, tilioni 100 ya sasa inaweza kuwa na thamani ndogo ukilinganisha na tilioni 3 za mwaka 1979.' Exchange rate' ya mwaka 1979 ilikuwa dola moja sawa na shilingi nane za kitanzania na 'exchange rate' ya sasa dola moja sawa na shilingi 2300. Hivyo basi tilioni 3 za mwaka 1979 zilikuwa sawa na dola bilioni 375 na tilioni 100 ya sasa ni sawa na dola bilioni 43.
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870

Ngoja nikalie nipunguze machungu!
 
Back
Top Bottom