Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

Hata kilichoandikwa huelewi unaropoka tu kama vijana wa lumumba, kwenye thread hii umeona popote deni la.Tanzania linalinganishwa na nchi ingine? Takwimu hizi zinaongelea tawala zilizopita na tawala hii..pls.unagana na makonda pld yule mwingine and go back to class
Deni lolote likishasemwa la taifa, unalinganisha vitu vingi ambavyo vinaambatana na GDP etc. Nina mashaka na elimu yako isije ikawa ni ya ngumbaru?
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

Tafakari, kisha chukua hatua!!
Beberu namba moja hataki tujue haya.
 
Haya anayo yafanya ya kuleta miradi mikubwa siyo kwamba watangulizi wake walishindwa,lakini waliona wataliingiza Taifa katika madeni ambayo hayatalipika.yeye anakopa bila ya kufuata utaratibu halafu anajidai nimefanya hiki na hiki.
 
Una ushahidi alipokopa? Wacha Majungu, statistics zinaonyesha kwamba hata tukikopa tunaweza kulipa. Nenda wewe Bank ukakope kama watakukopesha, wanakopeshwa wenye uwezo wa kulipa.
 
Wewe ndiyo hayawani kwa kuwa huwezi kufuatilia. Toka Jiwe amekuwa Rais anakopa kutoka Exim Bank of China, ADB, Credit Swiss na World Bank.

Lakini kwa umburulla wa Watanzania wengi akisema "tunajenga kwa pesa ya ndani" mnapigia makofi.

Nenda kasome Kitabu cha Bajeti ya 2019/20, utaona makadirio ya matumizi ya kawaida na maendeleo ni kama Tsh 31 Trillioni.

Makusanyo ya TRA kwa mwezi ni Ts 1.0 -1.5 Trillion kwa mwezi sawa na Tsh Trillion 12 - 18 Trillion kwa mwaka. Hiyo nakisi au deficit unadhani inatoka wapi?

Hilo ndilo deni linapozalishwa. Kwa hiyo mnapopost humu jarìbuni kushirikisha ubongo siyo kuandika tu kwa sababu unayo bundle ya Tigo.
 
Kwa hiyo haya uliyoandika ndio ushahidi? Yaani wewe una matatizo makubwa kwanza elewa maana ya ushahidi, hatuongelei majungu hapa! Hapa kazi tu. Maswala ya bando waambie wenzako waliokimbia umande, kama una shida omba msaada wa kulishwa sio kubwabwaja bwabwaja kama lofa.
 
Acha kutulosha ujinga weee mbwiga kila mtu arafanya maamuzi kwa utashi wake
Halafu kuna wapuuzi ntawashangaa sana 2020 wakimpa tena chance ya kutuongoza kwa muhula mwingine dunia itatushangaa jinsi tulivyo mapimbi aisee
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870

Habari hizi hazitakiwi kusemwa maana sifa ya mungu itapungua. Inatakiwa sifa zimiminike tu. Ni kama familia inayofurahia maendeleo aliyoletea mzazi wao bila kujua fedha anatoa wapi.
 
Kwa hiyo haya uliyoandika ndio ushahidi? Yaani wewe una matatizo makubwa kwanza elewa maana ya ushahidi, hatuongelei majungu hapa! Hapa kazi tu. Maswala ya bando waambie wenzako waliokimbia umande, kama una shida omba msaada wa kulishwa sio kubwabwaja bwabwaja kama lofa.
Numbers don't lie kama hujanielewa hapo walaumu wazazi wako ambao hawakukupeleka shule. Mbuzi hata umpigie gitaa hawezi kucheza, kuniambia mimi na nabwabwaja wakati mimeweka takwimu nyepesi kama hivyo, inonekana kichwa chako unafugia nywele tu.
 
Twende kitakwimu kwa kulinganisha kama ni asilimia ngapi ya pato la Taifa yaa % of GDP. Nchi nyingi za duniani zina madeni zaidi ya 50% ya PLT.
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870
pia tusichoke kuangalia katika awamu ya mzee wetu magufuli Kuna miradi mikubwa inatekelezwa kwaio kwangu sioni kama no tatizo
 
GDP ya Tanzania inakadiriwa kufikia TZS. Trilioni 138 mwaka 2019 na TZS.Trilioni 147 mwaka 2020. Kwa hiyo T61 ni asilimia 44 ya T138 na ni asilimia 41 ya T147. BADO NI HIMILIFU kwa viwango vya IMF kwa nchi zinazoendelea.
 
Mwinyi alikopa Sana
Ukilinganisha na thamani ya Ela kipindi kile
 
Kwa takwimu zako (hata kama ni za kuokoteza maana hazina literature), ni Rais gani aliyekopa pungufu ya aliyemtangulia?
 
Mkuu h
GDP ya Tanzania inakadiriwa kufikia TZS. Trilioni 138 mwaka 2019 na TZS.Trilioni 147 mwaka 2020. Kwa hiyo T61 ni asilimia 44 ya T138 na ni asilimia 41 ya T147. BADO NI HIMILIFU kwa viwango vya IMF kwa nchi zinazoendelea.
Mkuu mtoa post ana uwezo wa kuelewa ulichoandika kweli?
 
GDP ya Tanzania inakadiriwa kufikia TZS. Trilioni 138 mwaka 2019 na TZS.Trilioni 147 mwaka 2020. Kwa hiyo T61 ni asilimia 44 ya T138 na ni asilimia 41 ya T147. BADO NI HIMILIFU kwa viwango vya IMF kwa nchi zinazoendelea.
Hizo ni takwimu za nini?. Na source yake ni nini?
 
Back
Top Bottom