Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,863
- 62,390
Wanakopa tu hawajali ili wajenge mavituvitu ambayo mengine siyo ya maana
Ngoja siku washtukie Jeshi la Mabeberu limeuzingira mlima Kilimanjaro kwamba wataendesha utalii miaka 200 kujilipa deni kisha ndo waturudishie!