Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

Mods rekebisheni isomeke deni, demi ni member humu ilishanchanganya hapa.....hahaaaa
Hao mods wako lingekuwa jukwaa la mapenzi, ingebadilishwa muda mrefu. Ukishapost tu haipiti dk 10 wameshabadilisha kichwa cha uzi. Ingia jukwaa la international (Lugha ya kiingereza) na tech. Title za nyuzi huwa hazibadiliki hata ukosee vipi ila kwenye jukwaa la MMU na JChat faster title ishabadilishwa
 
Huoni Chato inavojengeka?
Huoni ndege znavyopishana angani?
Huoni Stiglaz goji?
Huoni standadi geji?

Yaani huoni ivo vyote chief,

Au wee unamtindio wa Macho?

Mkuu usinitajie vitu kama vile ume kariri kitu flan ,unapo sema Standard Geji useme italipatia Taifa pato kiasi gani kutokana na ilikopitia.SGR mmeipitishia Rwanda Nchi ambayo sio Mwanachama wa SADEC mnatarajia Matokeo gani hapo Mkuu.

Watu wanataka Matokeo ya mnayo yafanya ,yana Faida gani kulinganisha na Hasara katika Mizania.

Na Ndege unazo zisemea ni hizi zinazo Andamwa na Mabeberu kila wakati au ni zipi hizo ?.

Usiishie kukiangalia kitu kwa Macho Mkuu.
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870
Heri hao wengine maana kwa sehemu fulani tuliona yaliyokuwa yanaendelea ikiwa ni pamoja na kulipa mishahara, kuajiri, kupandisha vyeo/madaraja wafanyakazi.

KWA HUYU: Kapunguza wafanyakazi, haajiri, hapandishi madaraja,kanyanganya watu pesa zao.
Mbaya zaidi kila anapopita yeye pamoja na wafuasi wa chama chake wanajinadi hiyo miradi imetekelezwa/inatekelezwa kwa fedha za ndani/za walipa kodi.
 
Acheni wivu, tukakope na za kukombolea ndege yetu haraka, kabla mabeberu hawajatuhujumu.
 
Uchanganuzi wako (analysis) ni shallow.

Usiliangalie deni kwa kiasi tu (value), chukua deni kisha gawanya kwa pato la taifa.

Nikupe mfano: Mtu mwenye kipato cha 100,000 na deni la 60,000 ana hali mbaya kuliko mtu mwenye kipato cha 1,000,000 na deni la 500,000 licha ya kwamba mwenye 500,000 ana deni kubwa kuliko mwenye deni la 60,000 (ability to service the debt).

Pato la taifa katika awamu ya Nyerere na pato la taifa wakati wa Magufuli ni vitu viwili tofauti kabisa. Uchambuzi wako ungejitosheleza endapo ungekuja na takwimu za kipato wakati wa Nyerere na Wakati wa Magufuli.

maskini,unaongea uharo mtupu
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870
[/QUOTEBure

Kutokana na takwimu zako ulizozitoa zinaonyesha awamu ya kwanza ilikopa shilingi trilioni tatu hadi kufikia 1979 hiki ndicho kiasi kikubwa kilichokopwa kuliko awamu zote na hii iliongeza deni kutokana na vita kati ya Tanzania na Uganda. Mwaka 1979 dola moja wakati huo ilikuwa sawa na shilingi nane za Tanzania na deni lote lilikuwa sawa na dola bilioni 375.
Awamu ya pili ilikopa shilingi trilioni 15 sawa na dola bilioni 26, dola moja ilikuwa sawa na shilingi 575 mwaka 1995.
Awamu ya tatu ndiyo iliyofanya vizuri zaidi kuliko awamu zote kwa kupunguza deni kwa dola bilioni 7.7, Dola moja ilikuwa sawa na shilingi 1036 mwaka 2005.
Awamu ya nne ilikopa shilingi trilioni 25 sawa na dola bilioni 14.4, dola moja ilibadilishwa kwa shilingi 1734 mwaka 2015.
Awamu ya tano imekopa shilingi trilioni 61.8 sawa na dola bilioni 11.3, dola moja inabadilishwa kwa shilingi 2300 kwa sasa.
Hivyo basi madeni yote ukibadilisha na kwenda kwenye dola kwa wakati huo utaona awamu inayoongoza kukopa kidogo ni awamu ya tatu ikifuatiwa na awamu ya tano inakuja awamu ya nne, awamu ya pili na awamu ya kwanza kwa kufuatana. Awamu ya tano hadi hivi sasa bado imekopa pesa kidogo ukilinganisha na awamu ya kwanza, ya pili na ya nne.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hizo pesa za ndani mliuza nini wakati korosho mliwanyima kangomba zinaozea maghalani?
hizo trillion 3 za mwalimu nyerere ni kwa thamani ya sasa au kipindi chake?..kama kipindi chake je kwa thamani ya sasa inakua kiasi gani?..halafu hujaweka takwimu za ukuaji wa kiuchumi kwa nyakati zote
 
Dola moja wakati wa JKN ilikuwa sh ngapi?
Dola moja wakati wa AHM je?
Wakati wa BWM?
Wakati wa JK?

Ngoja twende pamoja, Mwaka 1985 wakati Nyerere anaondoka madarakani, deni la Taifa lilikuwa shilingi Trilion 3 na Dola ya kimarekani wakati ule ilikuwa Dola Moja sawa na Shilingi 102, Kwa hiyo ukichukua Trilion 3 ukagawa na 102 Maana yake ni kwamba Mwalimu aliacha Deni la DOLA BILIONI 29.41

Wakati Mwinyi anaondoka Madarkani mwaka 1985, Dola Moja ilikuwa ni sawa na shilingi 500, Kwa hiyo kama deni lilikuwa ni shilingi Trilion 18, Maana yake ni kwamba Ukichukua Trilion 18 gawanya kwa 500, Kwa hiyo mzee Mwinyi aliacha deni la Dola Bilioni 36

Wakati Beni anaondoka Madarakani Deni lilikuwa Shilingi Trilion 10, na exchange Rate ya Dola wakati huo ilikuwa dola moja sawa na sh 1050, Kwa hiyo ukichukua Trilion 10 gawanya kwa 1050 unapata Dola Bilion 9.52

Wakati JK anaondoka Dola moja ilikuwa inabadirishwa kwa sh 2200 na Deni lilikuwa Trilion 45, Ambapo ukiziweka katika dola hizi maana yake JK aliacha deni la dola Bilion 20.4

Katika Miaka Minne ya Raisi Magufuli Deni ni Trilion 61, Exchange rate ni sh 2300 per USD, tukiliweka hilo deni interms of USD Maana yake ni kwamba deni letu ni dola Bilion 26.4

Kwa Hiyo Relatively Utaon kwamba

Katika Utawala Mzima wa Mwinyi wa Miaka 10, Aliongeza deni kwa Dola bilion 36-29.41= 6.59

Mkapa alipunguza deni kwa 9.52-36 =-26.48
HAPA TUMPE KONGOLE SANA MZEE MKAPA ALIPIGA DIPLOMASIA YA MAANA, KAZI NZURI MNO MPAKA TUKAPUNGUZIWA DENI LA DOLA ZAIDI YA BILION 26

Jk yeye aliongeza deni kwa dola bilioni 20.4-9.52 = 10.33
JK aliongeza Deni la Dola bilion 10.33 Ndani ya miaka 10

Magufuli Ndani ya Miaka 4 ameongeza deni kwa dola bilion 26.4-20.4 = Dola Bilion 6
Ndani ya Miaka Minne Tu ya Utawala wake Magufuli kaongeza Deni kwa Dola Bilion 6

Hitimisho:
Pamoja na kwamba Kipindi Cha JKN tunaona deni kama dogo, lakini kwa mujibu wa Exchange Rate za wakati huo Lile lilikuwa ni deni Kubwa Kishenzi kuliko deni tulilonalo leo: Shilingi ya miaka hiyo ilikuwa na Thamani kubwa mno, na data zimeonyesha hivyo

Mzee Mkapa alipiga kazi Ya Kustahiki Medani ya Heshima kwa kuwezesha kuendesha diplomasia kali mpaka tukasamehewa zaidi ya Dola Bilion 26

Ukopaji wa AHM ulikuwa ni wa wastani wa dola bilion 6.59/10 =0.659 Billion Dollars kwa mwaka

Ukopaji wa JK ulikuwa ni wa watani wa Dola 10.33/10 = 1.3 Billion Dollars kwa mwaka

Ukopaji wa Magufuli ni wa wastani wa Dola Bilion 6/4 =1.5 Billion Dollars kwa mwaka
Kwa hiyo maana yake ni kwamba akitawala miaka 10, anaweza kutuongezea deni la trilion 15 katika deni aliloacha JK

Kiufupi ni kwamba JPM awe makini kwenye kukopa , kasi yake ya ukopaji ni kubwa mno, Rate yake ya Ukopaji ni kubwa kuliko rate ya Maraisi wote waliopita, Apunguze!
mzee mkapa aliwauzia migodi bei chee,walijua wapi watajilipa..ndiyo maana walimpa uenyekiti mwenza wa ile taasisi ya kibeberu,mzee mwinyi hakukuta hela hata ya kulipa mishahara
 
hizo trillion 3 za mwalimu nyerere ni kwa thamani ya sasa au kipindi chake?..kama kipindi chake je kwa thamani ya sasa inakua kiasi gani?..halafu hujaweka takwimu za ukuaji wa kiuchumi kwa nyakati zote
Mwaka 1979 dola moja ilikuwa sawa na shilingi 8.2, hivyo basi trilioni 3 ilikuwa sawa na dola bilioni 375.
 
KWA TAKWIMU HIZI ZA DENI LA TAIFA HAKIKA TUNAANGAMIA.

01. Awamu ya kwanza chini ya Mwl. Nyerere alieongoza kwa miaka zaidi ya miaka 20.
-Deni la Taifa lilipotoka mwaka 1979 mara tu baada ya vita ya Kagera lilikuwa Trilioni 3.

02. Awamu ya pili chini ya Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza kwa miaka 10.
-Deni la Taifa lilipanda kutoka Trilioni 3 hadi kufikia Trilioni 18. Hii inamaana kuwa, Mzee Mwinyi alikopa fedha kiasi cha Trilioni 15 pekee ndani ya awamu zote mbili.

03. Awamu ya tatu ya Mhe. Benjamin Mkapa aliyeongoza kwa miaka 10.
-Mzee Mkapa alipoingia alikuta deni ni Trilioni 18. Mzee Mkapa akafanya jitihada za kupunguza deni hilo na kufanikiwa kulipunguza hadi kufikia Trilioni 10.
Mpaka anaondoka madarakani uchumi ulikuwa unakuwa kwa 6.7%
Kwa neno moja tu tunaweza kusema, Mzee Mkapa alikuwa ni "Mpiganaji wa uchumi".

04. Awamu ya nne chini Mhe. Jakaya Kikwete alieongoza miaka 10.
-Ameingi amekuta deni la Taifa ni Trillion 10. Lakini katika kukopa kwake mpaka anamaliza muda wake wa uongozi (awamu zote mbili) ameacha deni la Trilioni 35. Maana yake kwa miaka yote 10 amekopa kiasi cha Trilioni 25.

05. Awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ambae mpaka sasa ana miaka minne (4) ya uongozi wake ikiwa hajakamilisha hata awamu moja ya miaka mitano.
-Ameingia madarakani amekuta deni la Taifa lililoachwa ni Mzee Kikwete ni Trilioni 35.
-Mpaka kufikia mwezi huu wa January mwaka 2019, deni la Taifa limefika Trilioni 61.8
*Kwa lugha rahisi ni kwamba Rais Magufuli amekopa Trilioni 26 ndani ya miaka minne (4) tu.*
Hivyo basi, ni dhahiri kusema kuwa, Rais Magufuli ndiye Rais pekee kati ya marais wote waliopita, aliyekopa pesa nyingi sana kwa muda mfupi sana.

Tuna wakati mgumu sana kama Taifa. Na hapa tulipofika ni hatari zaidi katika nchi hii ambayo watu wake wengi ni Wakulima na Wafanyakazi.
Ninajiuliza ikiwa kiasi hicho ni cha miaka minne tu, je, Rais huyu akipewa awamu ya pili tutaangukia wapi?

View attachment 1192870
Weka takwimu za madeni ya Taifa ya Marekani na Japan tuone na ufanye analysis pia.

Halafu sijui kama unafahamu tofauti kati ya Deni la Taifa na Deni la Serikali kwa kuwa naona unapuyanga tu!
Lakini pia kwani pesa zinazokopwa Mh Rais anazitumia kunywea pombe au anawekeza kwenye miradi kwa ajili Taifa na wananchi wake?
 
Hebu tufanye hesabu rahisi

miaka 4 = mkopo 26T
miaka 6 =?
(6×26)/4 = 39T

61T + 39T = 100 Tilioni

so mkulu akiongoza miaka 6 atakopa Tillion 39

Therefore kama mkulu atakaa hadi 2025 deni litakuwa Tillioni 100
 
Back
Top Bottom