Takwimu: Vigogo wa Afrika Simba SC ilikuwa bora kuliko Al Merrikh

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,715
Screenshot_20210306-192451_Chrome.jpg


Screenshot_20210306-193041_Chrome.jpg


Hizo ni takwimu za game ya leo numbers dont lie. Kama hujui kusoma basi tazama hata picha.

Simba Sc ilikuwa bora sana, plan A ilikuwa kumiliki mpira na kukataa kufungwa. Plan B ni kupata point 3.

Simba Sc sio timu ya kienyeji inacheza kwa malengo makubwa. Simba Sc ndio timu tegemewa kwa Africa Mashariki na Kati baada ya TP Mazembe kuzingua.
 
Asante MASHUJAA wachezaji na benchi zima la ufundi....njooni sasa kwa Mkapa tufanye yetu.
 
Simba hawajui mpira nasema tena, hahahah, aiseee ninaonekana nina wivu hahahaha
 
Kwani kuna shida gan ?mbona utopolo mnatuwaza sana mabwana zenu

Kesho tutakuwa bongo,andaa sahani utapakuliwa tu
 
Back
Top Bottom