Takukuru yakamata mwalimu kwa rushwa ya ngono,

Takukuru yakamata mwalimu kwa rushwa ya ngono,

Safi sana..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kumbe u Lecturer mzuri sana, ukisimamia Research una uhakika wa kutafuna nyapu nyingi، IFM nasikia ma Lecturer wame Advance sasa wameanza kuomba migongo wavaa kata K ili kupitisha Reserach zao!
 
Nitaongea naye akasomee walau uchungaji iwapo atakubaliana na mimi,
huku kwingine naona giza tupu linazidi kutanda.

Mpeleke mtoto chuo akapate elimu ila mwambie kuna walimu wa kwale kama huyo Fulgence Massawe ni hatari na weka mbali na mabinti
 
Wanakamata vidaga vidogo vidogo hao ma papa wanaachwa. Ngono na ufisadi wa makampuni ya Kagoda wapi na wapi. Takukuru mtaeleweka vizuri mkiwatia ndani wamiliki wa Kagoda.
 
Wanakamata vidaga vidogo vidogo hao ma papa wanaachwa. Ngono na ufisadi wa makampuni ya Kagoda wapi na wapi. Takukuru mtaeleweka vizuri mkiwatia ndani wamiliki wa Kagoda.
Rushwa ya ngono ni rahisi kukamata, ushahidi ni mchuzi tu.
 
Baadhi ya watoto wa kike ni wajinga, wenzake wanamlaumu mwanafunzi huyo kuriport issue kwa baba mzazi na takukuru, inaonyesha ndiyo kawaida ya walimu wa vyuo na taasisi za elimu ya juu.

Katika chuo hicho hicho kampasi ya Mtwara, kuna mwalimu jina ..............kila baada ya miaka 2 anamchukua mwanafunzi :A S 20: kusihi nae kinyumba akimaliza anachukua mwingine kutoka new joiners. kwa sasa anaishi na mwanafunzi wa diploma mwaka wa 2 na amemzalisha mtoto. pia ana ishi mtoto mwingine aliyezaa nae miaka ya nyuma.

Tutafika?
 
Vip we Issue zako zinaendaje?
Nadhani Lecturers watakuwa waanakuogopa hadi wanatamani wakupe shikamoo!

Teh teh.....hilo bomu linakaribia kulipuka....imekuwa story hapa chuo ingawa sijajulikana kama mm.
 
Naona huyo alikuwa anajitambua mbona kwa vilaza hiyo ni kawaida sana!Tena ndo wengi na hasa wanaochukua masomo ya medical ni kawaida sana kwa walimu kujilipa kama demu ni mzuri!Ukiona mkeo anaenda chuo cha juu kujiendeleza halafu kichwani mwepesi,akirudi na cheti ujue kaliwa sana tuu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Huyu dada inAelekea mambo yanapanda na pia alipata malezi mazuri yenye maadili.
 
Nasikia kuna mwingine anaitwa lawrence lubigili anapenda misifa na anazalisha sana wanafunzi. Jamani vijana wasomi wasiku hizi ni pumbafu tupu!


mwalimu wa chuo cha uhasibu tanzania (tia) campus ya dar es salaam (jina: Fulgence masawe) alikamatwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru huko mtwara wiki iliyopita kwa rushwa ya ngono.

Mwalimu huyo alikuwa supervisor wa field report kwa wanachuo wa diploma mwaka wa 2. Mwanafunzi mmoja jina …………., alikabidhi report yake mara kadha lakini mwalimu huyo aliikataa zaidi ya mara 5 baada ya marekebisho.

Baada ya hapo mwalimu alimwambia dada huyo aende hotelini kwake jioni wakamalizane. Binti alikubari lakini akamtaarifu baba mzazi, baba alifanikiwa kuwasilinana na takukuru na kuweka mtego hotelini.

Wakiwa chumbani mwalimu alikamatwa na takukuru kwa rushwa ya ngono amekaa lock up siku 6 inasadikika yuko nje kwa dhamana.

Lakini wanafunzi wenzake wanamlaumu kutoa taarifa takukuru, je mwanafunzi alifanya vizuri au angefanyaje?
 
Baada ya huyo Bw waende kamata na kinana kwa wizi anaotufanyia watz
 
Au ndo yule wa story za part I, II na III?
 
Back
Top Bottom