Takukuru yakamata mwalimu kwa rushwa ya ngono,

Takukuru yakamata mwalimu kwa rushwa ya ngono,

rugumye

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
561
Reaction score
179
Mwalimu wa chuo cha uhasibu Tanzania (TIA) campus ya Dar es salaam (JINA: Fulgence Masawe) alikamatwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU huko Mtwara wiki iliyopita kwa rushwa ya ngono.

Mwalimu huyo alikuwa supervisor wa field report kwa wanachuo wa diploma mwaka wa 2. Mwanafunzi mmoja jina …………., alikabidhi report yake mara kadha lakini Mwalimu huyo aliikataa zaidi ya mara 5 baada ya marekebisho.

Baada ya hapo Mwalimu alimwambia dada huyo aende hotelini kwake jioni wakamalizane. Binti alikubari lakini akamtaarifu baba mzazi, baba alifanikiwa kuwasilinana na TAKUKURU na kuweka mtego hotelini.

Wakiwa chumbani Mwalimu alikamatwa na TAKUKURU kwa rushwa ya ngono amekaa lock up siku 6 inasadikika yuko nje kwa dhamana.

Lakini wanafunzi wenzake wanamlaumu kutoa taarifa TAKUKURU, je Mwanafunzi alifanya vizuri au angefanyaje?
 
alifanya jambo la maana sana huyo
wacha aipate fresh
walimu ndo zao hao.wanachezea elimu ya wanafunzi kama mitaji ya kuwachezea.
 
safi sana mwanafunzi wa kike.
Lakini wapo wanafunzi wengine wengi wa kike ambao kusoma hawataki wao wakiingia tu kazi yao kutafuta maticha kama hao ili wawagawie sukari wao wapete kwenye courseworks. 'ALAMA KWA NGONO'
 
Binti asingekuwa makini angepata diploma ya chupi.
 
Baadhi ya watoto wa kike ni wajinga, wenzake wanamlaumu mwanafunzi huyo kuriport issue kwa baba mzazi na takukuru, inaonyesha ndiyo kawaida ya walimu wa vyuo na taasisi za elimu ya juu.

Katika chuo hicho hicho kampasi ya Mtwara, kuna mwalimu jina ..............kila baada ya miaka 2 anamchukua mwanafunzi na kusihi nae kinyumba akimaliza anachukua mwingine kutoka new joiners. kwa sasa anaishi na mwanafunzi wa diploma mwaka wa 2 na amemzalisha mtoto. pia ana ishi mtoto mwingine aliyezaa nae miaka ya nyuma.
 
Hii habari ni kweli. Huyu Mwl.Fulgence Massawe anatabia ya kupenda totozi hasa pale wanapoingia katika kumi na nane zake. Ni mwalimu anayefundisha somo la Public Sector Accounting(PSA) pale Chuo cha Uhasibu(TIA-DAR CAMPUS) na ameshawafunua wanafunzi wengi sana wa kike na alipoenda Mtwara ndipo arobaini yake ilipofika. HAYA NI MAELEZO TOKA KWA STAFF MMOJA WA PALE CHUO CHA UHASIBU(TIA-DAR CAMPUS)
 
Kuna mdau mmoja humu huwa anapost thread nyingi kuhusu kumfanyizia mwalimu wake, kama sikosei anaitwa miss strong. Huu uzi haumuhusu kweli?????
 
Mwalimu wa chuo cha uhasibu Tanzania (TIA) campus ya Dar es salaam (JINA: Fulgence Masawe) alikamatwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU huko Mtwara wiki iliyopita kwa rushwa ya ngono.

Mwalimu huyo alikuwa supervisor wa field report kwa wanachuo wa diploma mwaka wa 2. Mwanafunzi mmoja jina …………., alikabidhi report yake mara kadha lakini Mwalimu huyo aliikataa zaidi ya mara 5 baada ya marekebisho.

Baada ya hapo Mwalimu alimwambia dada huyo aende hotelini kwake jioni wakamalizane. Binti alikubari lakini akamtaarifu baba mzazi, baba alifanikiwa kuwasilinana na TAKUKURU na kuweka mtego hotelini.

Wakiwa chumbani Mwalimu alikamatwa na TAKUKURU kwa rushwa ya ngono amekaa lock up siku 6 inasadikika yuko nje kwa dhamana.

Lakini wanafunzi wenzake wanamlaumu kutoa taarifa TAKUKURU, je Mwanafunzi alifanya vizuri au angefanyaje?
a Mwandishi Wetu
KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Father Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kudaiwa kufumaniwa na mwanamke anayesemekana ni mke wa mtu, Ijumaa Wikienda lina sakata zima.
MSHANGAO: Father Ngowi akiwa ameduwaa baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.​
Sakata la fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi Vijijini ambako Father Ngowi inasemekana alikutwa ‘laivu' akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!
Habari zinadai siku ya tukio, mwanamke huyo aliingia nyumbani kwa padri huyo ambapo baadhi ya ndugu wa mumewe walikuwa wakimfuatilia baada ya madai yaliyokuwepo kwamba ana ukaribu wenye maswali mengi na mtumishi huyo wa Mungu.
"Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao," kilidai chanzo.​
MSAMAHA: Father Ngowi akijaribu kuomba samahani baada ya kufumaniwa.​
Chanzo kikaendelea kudai kwamba baada ya kuona mkewe amejikita kwa mtumishi wa Mungu, mumewe (jina tunalo) alinyoosha mikono juu na kumwachia Mungu.
Chanzo: Sasa siku hiyo baada ya ndugu wa mume kumfuatilia mpaka anaingia kwa Father Ngowi, wakaona ni bora watafute mpigapicha ili kupata picha za tukio ambazo zitakuwa ushahidi siku za mbele.
"Walipompata wakazama ndani, sekeseke likaanzia hapo. Walimkuta mwanamke huyo na mtumishi wa Mungu wapo kitandani."​
NI IBILISI TU: Father Ngowi na Mama P wakivaa nguo zao kwa aibu baada ya kufumaniwa.​
AWEKWA KITIMOTO
Habari zinadai kwamba kufuatia tukio hilo, tayari Kanisa Katoliki limemweka kitimoto padri huyo ambaye alikuwa akihudumu katika Parokia ya Korongoni, Moshi Vijijini kabla ya kuhamishwa na kupelekwa Parokia ya Makomu, Marangu ambako inadaiwa ameshushwa cheo.
Inadaiwa kuwa baada ya tukio hilo, Father Ngowi alikana kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake lakini alipobanwa sana na mabosi wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Moshi, alikiri na kudai ibilisi alimpitia na kuomba kanisa limsamehe na kutompa adhabu kali ambayo itamuathiri kisaikolojia.
Hili ni tukio kubwa na la aina yake kuwahi kulikumba Kanisa Katoliki nchini kwa padri wake kudaiwa kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake!​
AIBU: Father Ngowi na Mama P wakiwa na nyuso za aibu baada ya tukio hilo.​
SIKU ZA NYUMA
Kuna madai kwamba mwaka jana (2012), Father Ngowi, mbele ya waumini wake alisoma barua yenye kukana shutuma zote zilizoelekezwa kwake kwamba amekuwa na ukaribu wenye maswali mengi na wake za watu.
Taarifa zilidai kuwa padri huyo aliweka wazi akisema si kweli kwamba amekuwa na ukaribu unaotajwa, akawataka waumini wake wapuuze tuhuma hizo alizosema zina mwelekeo wa kuchafua sifa yake na taswira ya Kanisa Katoliki kwa jumla.
Hayo ni madai ya vyanzo vyetu ambavyo viliambatanisha na picha mbalimbali za tukio hilo lenye kushtua waumini sambamba na namba za simu za padri huyo kwa ajili ya mawasiliano ili kujiridhisha.​
CHUKUA SURUALI YAKO PADRE: Father Ngowi akipatiwa suruali yake.​
IJUMAA WIKIENDA NA FATHER NGOWI SASA
Baada ya kujazwa madai hayo, kama ilivyo desturi ya Magazeti ya Global Publishers likiwemo hili (Ijumaa Wikienda), lilimsaka Father Ngowi kwa udi na uvumba ambapo Ijumaa iliyopita nyakati za mchana lilifanikiwa kuzungumza naye lakini kabla ya kufanya hivyo, kifaa cha kunasia sauti kiliwekwa sawa na mambo yalikuwa hivi:
Wikienda: Haloo, naongea na Father Ngowi wa Parokia ya Korongoni, Marangu, Moshi?
Father Ngowi: Naam ni mimi, nani mwenzangu?
Wikienda: Naitwa…(mhariri anataja jina), napiga simu kutoka Magazeti ya Global Publishers.
Father Ngowi: Uko wapi?
Wikienda: Makao Makuu ya Global Publishers, Dar es Salaam.
Father Ngowi: Eeh…unasemaje?
Wikienda: Kuna madai ya wewe kukutwa na mke wa mtu chumbani. Je, unaweza kunielezea kama ni kweli na tukio lilikuwaje?
Father Ngowi: Siyo mimi.
Wikienda: Wewe siyo Father Urbanus Ngowi?
Father Ngowi: Nimekwambia siyo mimi, hao ni matapeli wanataka pesa ndiyo wametengeneza hizo picha.
Wikienda: Kwa hiyo unataka kuniambia hizi picha ni za kutengeneza?
Father Ngowi: Nimekwambia hao ni matapeli wanataka pesa.
Wikienda: Ulishaziona picha zenyewe?
Father Ngowi: Sijui.
NGOMA YATUPWA KWA MKUU WA JIMBO
Wikienda: Mbona tayari tukio hilo linadaiwa limeshafika kwenye ngazi ya jimbo, Moshi kwa Father Paul Uria?
Father Ngowi: Muulize yeye ndiye mkubwa wangu.
Wikienda: Basi nisaidie namba yake ya simu ya mkononi.
Father Ngowi akiwa katika vazi la kipadre.​
Baada ya takribani dakika 10, Father Ngowi alituma namba ya simu ya Father Uria na mambo yakawa hivi:
Wikienda (huku kinasa sauti kikiendelea kufanya kazi): Haloo…naitwa …(mhariri anajitambulisha) kutoka Magazeti ya Global Publishers, Dar es Salaam, naongea na Mkuu wa Jimbo Kanisa Katoliki, Moshi, Father Uria?
Father Uria (kwa sauti yenye unyenyekevu): Ndiyo.
Wikienda: Una taarifa za mtumishi wako, Father Ngowi kunaswa na mke wa mtu chumbani?
Father Uria: Kwanza mimi si mkuu wa jimbo, ni mwakilishi wa mkuu wa jimbo. Sipo mjini kwa sasa nipo Kilema huku vijijini kwenye huduma lakini nilikuta ‘missed calls' zake jana (Alhamisi) kwani ilikuwa tukutane kwa sababu alishanijulisha kuwa kuna tukio kama hilo unaloniambia wewe.
NGOMA YAWA NZITO, YATUPWA LEO JUMATATU
"Kweli tulikuwa tukae jana lakini ikashindikana, leo (Ijumaa) ni sikukuu (Muungano), kesho (Jumamosi) na keshokutwa (Jumapili) ni wikiendi. Kwa hiyo tutakaa Jumatatu (leo) hivyo nipigie saa 10:00 jioni siku hiyo ili nikupe maagizo tutakayofikia na mengine.
Wikienda: Lakini Father Ngowi alikueleza tukio lilikuwaje?
Father Uria: Nimekwambia tukikaa ndiyo tutajua kilichotokea. Wewe nipigie hiyo saa 10 nikupe kitakachojiri.
Wikienda: Shukrani Father Uria kwa ushirikiano.
Kazi haikuishia hapo, Ijumaa Wikienda lilimgeukia tena Father Ngowi walau aseme kwa ufupi kilichomtokea.
KUSOMA ZAIDI HABARI HII PAMOJA NA STORI ZOTE ZA GAZETI HILI: BOFYA HAPA
 
Baadhi ya watoto wa kike ni wajinga, wenzake wanamlaumu mwanafunzi huyo kuriport issue kwa baba mzazi na takukuru, inaonyesha ndiyo kawaida ya walimu wa vyuo na taasisi za elimu ya juu.

Katika chuo hicho hicho kampasi ya Mtwara, kuna mwalimu jina ..............kila baada ya miaka 2 anamchukua mwanafunzi na kusihi nae kinyumba akimaliza anachukua mwingine kutoka new joiners. kwa sasa anaishi na mwanafunzi wa diploma mwaka wa 2 na amemzalisha mtoto. pia ana ishi mtoto mwingine aliyezaa nae miaka ya nyuma.

Kwenye red rekebisha...'baadhi ya walimu wa vyuo na taasisi za elimu ya juu'...
 
Binti asingekuwa makini angepata diploma ya chupi.

Naona huyo alikuwa anajitambua mbona kwa vilaza hiyo ni kawaida sana!Tena ndo wengi na hasa wanaochukua masomo ya medical ni kawaida sana kwa walimu kujilipa kama demu ni mzuri!Ukiona mkeo anaenda chuo cha juu kujiendeleza halafu kichwani mwepesi,akirudi na cheti ujue kaliwa sana tuu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ivi hao wanao mlaumu mwenzao kwa kuwaambia TAKUKURU wana akili kweli usikute kumegwa na uyo mwalimu ni kawaida yao PUMBAVU sana.
Ningetarajia hii iwe covered kwenye media zote ili iwe FUNDISHO kwa walimu wengine wenye tabia kama hii angalau wawe wanajua kuna mademu jasiri kama HUYU
 
Back
Top Bottom