Ndicho walichobakiza TAKUKURUCCM,kufuatilia ujinga ujinga tu na yameyaacha Majitu yameuza nnchi,yameficha pesa urusi,yamejimikilisha migodi,matraffic yanatufilisi barabarani,misitu wamepewa waarabu,matoto ya vigogo yanapendelewa kila sekta,n.k.
mabinti wengine bwana!Inawezekana alikuwa na mahusiano na teacher siku nyingi;kuna kitu walipishana tu au alidanganywa na wenzake akamfanyizia ticha.Sasa atakuwa anajuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.