Uchaguzi 2020 TAKUKURU yaingilia kati rushwa za baiskeli na pikipiki anazogawa Hamis Kigwangalla Nzega Vijijini

Seleli walimfanyia fitna sema tu jamaa ana utu sana, akakubali yeishe...

Ndani ya CCM yakikufika huna pa kwenda ndugu, unabakia na mkeo mnalia kwa kupokezana!!

Selelii elimu ndogo ilimponza hasa pale alipotumika na kundi la ant Lowassa kuinyonga Richmond na kweli walinyonga lakini nao walipo strikeback Selelii alijikuta akiwa pekee mbugani ndipo maajabu ya kura za maoni mtu wa tatu kuchaguliwa badala ya mshindi ambaye naye alipewa kesi ya utata wa uraia, mchezo huu ulikuwa umesukwa ukasukika ila mwisho wa yote wenzie waliponea chupuchupu kukosa ubunge kama yeye na kwa kumwonea huruma ndio akalambishwa u board member kule TANAPA, STAMICO etc allahamdulilah viposho vinamuwezesha kuishi na kupata Kahawa mtaani pale Nzega
 
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.

Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.

Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Kigwangalla asingesoma angeutesa sana ukoo wake!

Jamaa hajitambui kabisa!
 
Huyu si alishawahi kutuhumiwa kugawa vitumbua/maandazi kule nzega?
IMG_7426.JPG
 
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.

Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.

Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

😆😆😆😆
 
Lakini anajenga HISIA mbaya sana among Tanzanians, na anwajengea uadui wasukuma/watu wa Kanda ya ziwa
Kanda ya ziwa wacha nasi tutese maana ni zamu yetu, ila kwetu huku chigooma bado sana naona kama hatuonekani vizuri
 
Ili takukuru inoge,mkurugenzi alitakiwa kupigiwa kura na halmashauri kuu
 
Hawajui na wataendelea kujidanganya kuwa maisha ni siasani, hawajui kuwa maisha nje ya siasa
Selelii elimu ndogo ilimponza hasa pale alipotumika na kundi la ant Lowassa kuinyonga Richmond na kweli walinyonga lakini nao walipo strikeback Selelii alijikuta akiwa pekee mbugani ndipo maajabu ya kura za maoni mtu wa tatu kuchaguliwa badala ya mshindi ambaye naye alipewa kesi ya utata wa uraia, mchezo huu ulikuwa umesukwa ukasukika ila mwisho wa yote wenzie waliponea chupuchupu kukosa ubunge kama yeye na kwa kumwonea huruma ndio akalambishwa u board member kule TANAPA, STAMICO etc allahamdulilah viposho vinamuwezesha kuishi na kupata Kahawa mtaani pale Nzega
 
Hapo hakuna cha ajabu ndani ya ccm maana bila rushwa hakuna ushindi kwa ccm
Lazima TAKUKURU waruke naye. Na ubunge anaweza kuukosa. Alipaswa akabithi hizo nyenzo kwa uongozi wa CCM taifa, na CCM ione inavyoweza kuzigawa. Alichokifanya ni rushwa pure!
 
Kigwangalla ananikumbusha mwaka 2010 alipopitishwa na chama chake cha CCM kugombea ubunge kwenye hilo Jimbo la Nzega huku akiwa ameshika nafasi ya 3! nyuma ya Husein Bashe (Msomali) na Mbunge aliyekuwa akitetea kiti chake (Lucas Seleli)

CCM huwa hawakosi sababu wakitaka kumchinja mtu! Nakumbuka walisema Seleli amekosa mvuto na Bashe ana makandokando ya uraia! Kisha wakasema zamu ya U Spika ni ya Mwanamke na hivyo kumchinja mzee Sitta!!
 
Pale pansiasi hawawezi kumsahau huyo Kigwa alicho wafanya
Hii Wizara sijui huwa inakaribisha ubwege! Huyu naye aliwarusha kichura askari wake! Yule aliyehamia CAHDEMA yeye aliishia kuwabeba askari wa kike! Jamani!
 
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.

Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.

Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Ni rushwa iliyodhahiri,Takukuru wampeleke mahakamani huyu mtu.
 
Pamoja na JK kumuepusha Kigwa na dhahma ya Bashe kwa kuligawa jimbo la Nzega bado hajiamini huko Nzega Vijijini?
 
Back
Top Bottom