Uchaguzi 2020 TAKUKURU yaingilia kati rushwa za baiskeli na pikipiki anazogawa Hamis Kigwangalla Nzega Vijijini

TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.

Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.

Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Ccm bila rushwa haiwezekani.
 
Mtajuana wenyewe, pambaneni huko wee sisi tunawasubiri Mamati Kuu Dodoma...tutabaki na tunaowahitaji....wahamiaji hata mmoja hakatwi hata kama ana kura 2 jimboni...hutaki hama chama mapemaa.
Mamati au mama tiffah
 
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.

Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.

Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Kigangwala ana uwezo mdogo sana kufikiri. Hata alama za nyakati hawawezi kuzisoma!! Inashangaza aliupataje uwaziri. Kumbe NDUMBA wakati mwingine ZINALIPA.
 
Waende na Jimbo la Nyasa ,Manyanya baada ya kuona hali mbaya amegawa pikipiki kwa wajumbe mbaya zaidi hadi Kamanda wa takukuru mwenyewe kapewa na OCD kanogewa kapewa 3. Vitu kama hivyo wakati kama huu ni Rushwa na mwenezi Pole pole kabariki hivyo vitu akiwa Arusha ,kwamba wanatekekeza Ilani, Mimi nadhani ingekuwa busara kwa chama changu kingeruhusu mambo hayo kufanyika baada ya kura ya maoni, au vinginevyo chama kiseme mwenyekiti ametoa baraka ya kutotaka wabunge wengine, ameridhia kufanya kazi na wabunge hawa hawa,wanachama wasipoteza muda wao kugombea
 
CCM huwa hawakosi sababu wakitaka kumchinja mtu! Nakumbuka walisema Seleli amekosa mvuto na Bashe ana makandokando ya uraia! Kisha wakasema zamu ya U Spika ni ya Mwanamke na hivyo kumchinja mzee Sitta!!

Fimbo hii iliwalenga wote wale walioshupalia Richmond, Sitta, Selelii, Mwakyembe etc na ndipo Selelii alipokwamishwa na kijana aliyetumwa na watu wenye pesa
 
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.

Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.

Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Wanasherehesha tu, ukizunguka uani huenda utawakuta wako pamoja wanaendelea.
 
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.

Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.

Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

Hakuna ata kapicha mkuu?
 
Huyu amezoea kutoa hongo, kuna kipindi tena alikamatwa anagawa vitumbua!
 
Porojo tu hizo, huyu ni MTUME wa YESU wa Tanzania kama alivyo MTUME Lugola!
Unaona jinsi dhambi ya Kange Lugora inavyoharibu watu na kuendelea kumwita kiongozi wetu kwa kufuru!! Huyu Lugora asipotubu hadharani, Kila dhambi ya kufuru itahesabiwa juu yake, na laana yake itampata ghafla!!
 
Kwani Magufuli amemkemea? Ina maana anaafiki kuwa yeye ni YESU. Mtu ukichukia unakemea aliyesema maneno hayo. Amenyamaza kimya, means consent! hata kwenye sheria, Silence means consent!
 
Back
Top Bottom