Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Takukuru waanze na zile za TETEMEKOKuna kampeni na uhamasishaji mbalimbali unaofanywa na vyombo vya habari kama vile kuwaombea michango watoto wenye magonjwa mbalimbali na baadae kuwapeleka kwenye matibabu ingawa ni mara chache sana tunapata mrejesho wa kiasi halisi kilichochangwa au hata taarifa kamili ya kilichojiri kwa mgonjwa.
Hoja hii inajikita katika mashaka ya kiasi gani hasa cha fedha huchangwa na kutangazwa kuwa kimechangwa??
Kuna haja kubwa ya TAKUKURU kufuatilia aina hii ya fursa ya upigaji.