Namjuwa vizuri sana 😄Msama ni TAPELI wa hali ya juu
Ntimiz mwenyewe alikuwa TPMsama Mpigaji sana wa Viwanja kwenye Prime Areas..........Nakumbuka alikuwa na eneo Beach Front Mbweni JKT lilikuwa karibu na Mussa Mtimizi(Mtoto wa Waziri Tatu Mtimizi -Enzi za JK) nalo alilipata kwa UTAPELI.
Hahaha alikuwa anamchukulia poa Mama ,yeah Mtimizi ni TP kweli...Janja janja jazz Band.Ntimiz mwenyewe alikuwa TP
😄
Msama namjuwa tokea akiwa dereva taxi...
Msama dhuluma U TP uko damuni aise 😄
Kuna wakati alipangaga pale,opp na best bite alifungua mgahawa alingia mkataba na mama mmoja pale,yule mama kila nkikutana naye alikuwa analalamika khs msama
Mambo ya malipo+kiswahili kingi 😄 ,nkanajiuliza msama anajuwa lakini yule mke wa nani lakini 😄
Yule mama ilibidi amfikishie lawama mme wake(mzee fulani)ahh msama alipewa pale masaa 48 aondoke 😄
Mbona alikimbia 😄
Ova
Labda kala maono!😁Mbeba maono anatafutwaje na Takukuru tena, kala nini?
Hivi mama yao yupo 😄Hahaha alikuwa anamchukulia poa Mama ,yeah Mtimizi ni TP kweli...Janja janja jazz Band.
Yeah yupo mkuu ,niliona video yake anahojiwa Azam.Hivi mama yao yupo 😄
Ova
Ndonani huyo???? Huku buzebazeba hatumfahamu hata
Je huyu Msama bado hakapatikana?Msama Mpigaji sana wa Viwanja kwenye Prime Areas..........Nakumbuka alikuwa na eneo Beach Front Mbweni JKT lilikuwa karibu na Mussa Mtimizi(Mtoto wa Waziri Tatu Mtimizi -Enzi za JK) nalo alilipata kwa UTAPELI.
Mleta mada unayefuatia ni weweSingida
Anayekula nyama ya mtu haachiKwanini ? Kwani nina kosa gani?
Hahaa atakuwa anahonga "wazee" ili wasimtafute.Je huyu Msama bado hakapatikana?
HayupoHahaa atakuwa anahonga "wazee" ili wasimtafute.
Hahaaa kumbe kachimba/kaamsha.Hayupo