Tajirika na Ngabu

hapo ulipo ushalogwa long time, umelogwa nini akili umelogwa jf udhibitisho haiwezi pita cku lazma ufungue jf we ulifikiri ukoje hata akili inaweza logwa!
 
Sasa si kuna mtaji wa kukulogea? Sina nauli ya kwenda pori kwa babu nikakutengeneze. Tuma walau dola 1,500 za kuanzia

Huo ndo utapeli wenyewe sasa!

Kama una hizo nguvu za uchawi kwa nini uhitaji mtaji?
 

Aaah wewe kazi ushashindwa. Waachie wanaoiweza.
 

Unaweza ukarogwa uzitie moto hizo 10,000$ USD, sijui utalipa nini na akiba yako ndiyo hiyo.
 
Upo tayari kuhama mtaa unaoishi kwa aibu? Maana test ya kwanza utapata fahamu ukiwa mtaani bila nguo hata moja na raia wanakushangaa. Ila weka robo ya hiyo pesa mezani kwanza alafu robo tatu baada ya kazi kuisha.

Hatoi mtu advance hapa. Kama unaweza fanya mambo ujishindie kitita cha dolari 10K.
 
Sema basi unataka urogwe kivipi mkuu
1 Nikuoteshe busha
2 Uwe chizi
3 Roho iachane na mwili kabisa (ktk hii itabidi unipe kabisa hela yangu nisije kosa wa kumdai)
4 Nikuchukulie mkeo (hahahaaaaaa!! utani wa ngumi huo )

Busha linahusika sana....hebu nioteshe bana. Najua wabebs wa mujini wanayapenda hayo makitu.
 

Shinyanga ndo kwetu na sijawahi kuona huo upuuzi ukifanya kazi.
 
hapo ulipo ushalogwa long time, umelogwa nini akili umelogwa jf udhibitisho haiwezi pita cku lazma ufungue jf we ulifikiri ukoje hata akili inaweza logwa!
Pasipokujua, mnaokomalia hoja kwamba amerogwa ndio maana anashinda JF mnaungana na mwana wa Ngabu​ katika kukubali kuwa uchawi haupo.
 

Hata mimi nahis labda........
 
Nitakubadili jinsia kwa muda wa wiki moja, natafuta mwanasheria kwanza wa kuzikamata kabisa hizo pesa..
Mkuu ukimbadilisha jinsia naomba unipe taarifa..nataka nitume mshenga kwao..nimchukue jumla
 
Basi sawa mimi ata usinilipe ila nitakuhamisha uishi nje ya mwili wako kwa siku mbili tu..alafu utaamini kama huo unaosema upo ama haupo..
Lini nianze zoezi?
 
'Miafrika Ndivyo Tulivyo!'
...
Nyani Ngabu Wacha utani bhana!
Wataondoa dushe na danikoro wakuekee MBUNYE uanze kulialia oohoo!!!
Na wakikuwekea mbunye labda nisigundue! Nahakikisha nakudoea hadi nakupata!
Wewe fanya mzaha tu!
 
Last edited by a moderator:
basi sawa mimi ata usinilipe ila nitakuhamisha uishi nje ya mwili wako kwa siku mbili tu..alafu utaamini kama huo unaosema upo ama haupo..
lini nianze zoezi?

asap!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…