Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,036
Nipatie hiyo fadha kwanza maana nikishakuroga huenda tusionane tena !!!
Mambo niaje JFers...
Sasa bana....mimi nataka nitoe changamoto kwenu nyie mnaodai uchawi upo. Changamoto yenyewe inahusu mambo ya (imani za) kichawi.
Mimi tokea nianze kujitambua sijawahi kukubali kuwa uchawi upo. Na mpaka leo hii bado nakataa. Na ninachokataa ni uwepo wa hizo nguvu za kichawi.
Sasa nataka mtu anithibitishie kuwa kweli uchawi upo kwa kuniroga mimi. Atakayefanikiwa kufanya hivyo atajipatia kitita cha dola za Kimarekani elfu kumi ($10,000.00).
Nani atathubutu?
Sasa si kuna mtaji wa kukulogea? Sina nauli ya kwenda pori kwa babu nikakutengeneze. Tuma walau dola 1,500 za kuanzia
Nitakubadili jinsia kwa muda wa wiki moja, natafuta mwanasheria kwanza wa kuzikamata kabisa hizo pesa..
hahahahah!!!!!!!!!Sema basi unataka urogwe kivipi mkuu
1 Nikuoteshe busha
2 Uwe chizi
3 Roho iachane na mwili kabisa (ktk hii itabidi unipe kabisa hela yangu nisije kosa wa kumdai)
4 Nikuchukulie mkeo (hahahaaaaaa!! utani wa ngumi huo )
mwambie huyu asifanye masihara na kulogwa.Urogwe ili uweje?? au uwekewe sehemu za siri usoni??? Anyway Uchawi hauvuki bahari teh tah teh!!!
Ila uchawi upo ila hata siku moja usiombe kurogwa.. kama unataka kuamini tembelea sehemu uone. Shinyanga kuna sehemu huwa wanapiga " maduguri" ngoma ya wachawi ukifanikiwa kuhudhuria utashangaa, au tafta fundi uombe akutengenezee jini uone nauhakika utashangaa, Ila usirudie tena kuomba kulogwa
Mambo niaje JFers...
Sasa bana....mimi nataka nitoe changamoto kwenu nyie mnaodai uchawi upo. Changamoto yenyewe inahusu mambo ya (imani za) kichawi.
Mimi tokea nianze kujitambua sijawahi kukubali kuwa uchawi upo. Na mpaka leo hii bado nakataa. Na ninachokataa ni uwepo wa hizo nguvu za kichawi.
Sasa nataka mtu anithibitishie kuwa kweli uchawi upo kwa kuniroga mimi. Atakayefanikiwa kufanya hivyo atajipatia kitita cha dola za Kimarekani elfu kumi ($10,000.00).
Nani atathubutu?
wewe mbona ulisharogwa humu JF kitambo sana! haiwezekani muda wote upo JF 41480 post,una muda wa kuchezeaMambo niaje JFers...