afsa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 1,983
- 1,574
Nahitaji tajiri au kampuni ya kununua pikipiki mpya au used ili niingie nae mkataba wa mwaka mmoja.
1. Ukinunua pikipiki mpya kila wiki nawasilisha tsh 70,000*wiki52= 3,640,000/= kwa mwaka(service zote kubwa na ndogo kwangu).
NB: Mkataba wa mwaka ukiisha pikipiki inakuwa Mali yangu.
Au
2. Ukinipa pikipiki used kila wiki nawasilisha tsh 50,000 * wiki52= 2,600,000/= kwa mwaka(service zote kubwa kwa tajiri/kampuni na service ndogo kwangu).
NB: Pikipiki itaendelea kuwa Mali yako.
Tajiri au kampuni iliyotayari tukutane inbox tuyajenge, nipo Dar.