Tajiri/kampuni ya kununua pikipiki

Itapendeza Ikiwa boxer tofauti na Boxer tutaongea
Yaani nitoe 2mil kwa Mkupuo kukununulia kitu then uje unipe (unilipe) kidogo kidogo hela ambayo nikienda tu bar inaisha yote huoni kama mimi ndio nakula hasara?
 
Hailipi kivipi mkuu?
Kila siku anawakilisha elf10 tu,baada ya miezi 12 yaani mwaka mmoja pikipiki inakuwa mali yake
Sasa mwaka mmoja una siku 360
Piga hesabu hizo siku mara elf 10 ni sawa na mil 3 na laki6 na pikipiki nimenunua dukani milioni 1 nalaki4
mmmmmh Acha zogo n pkpk gan hyo na wapi unaweza pata mpya kwa milion moja na laki 4
 
mmmmmh Acha zogo n pkpk gan hyo na wapi unaweza pata mpya kwa milion moja na laki 4
Boxer kila kitu imekamilika weka wastani 2500000. Mm natoa pikipiki lkn sio mkataba ni kila wiki unaleta 50000 tvs mpya ukiwa tayari nitafute kampuni ikue nataka mtu mwaminifu sipendi usumbufu
 
Yaani nitoe 2mil kwa Mkupuo kukununulia kitu then uje unipe (unilipe) kidogo kidogo hela ambayo nikienda tu bar inaisha yote huoni kama mimi ndio nakula hasara?
Aisee hili watu hawalioni, ni ukosefu wa elimu ya biashara.
Hapo anayefaidika ni dereva.
Unakuwa umemkopesha dereva kwa riba ndogo sana.
Dereva akishalipa anaendelea kutengeneza faida kubwa tu.

Mwenye pikipiki ili aendelee na biashara itampasa anunue nyingine na atafute tena dereva mpya na hapohapo amlipe wakili.
 
Kwa sisi waislam Riba haina nafasi!!
Faida kidogo inayopatikana alhamdulillah cha muhimu ni kwamba umepunguza wasio na ajira mtaani.
Kama dereva atakuwa na akili naye baada ya mwaka ataanza nunua pikipiki zake na kuwapa ajira Wengine then maisha yanasonga.
 
Back
Top Bottom