Nilitegemea nione angalau
1. TBC1
2. CHANNEL 10
3. UHURU NA MZALENDO
4. MSEMAJI WA SERIKALI
5. SPIKA WA BUNGE
6. WAKUU WA MIKOA
a. Ally Happy
b. Chalamila
c. Bashit
7. Facebook
Kwako wewe TBC ni chombo cha nje, kwangu mimi TBC ni media ya ndani ambayo huwa situmii. Yani unalinganisha TBC kwenye level za BBC na VOA?
Sikuwa najua kama mwanamke ni chombo cha habari1 mwanamke
2 mwanamke
3 mwanamke
#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
Mwanamke, Mwanamke, Mwanamke.Duuu kuna vyombo vingine humu ni shida
Kigogo2014
Mangekimambi
Originaleast
am better here
Duuuh haya nimekusikia mzalendo ukuu wa wilaya unakuhusu 😉😉😉😉Nilitegemea nione angalau
1. TBC1
2. CHANNEL 10
3. UHURU NA MZALENDO
4. MSEMAJI WA SERIKALI
5. SPIKA WA BUNGE
6. WAKUU WA MIKOA
a. Ally Happy
b. Chalamila
c. Bashit
7. Facebook