Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
Binafsi vyombo vyangu vya habari ninavyo viamini kwa taarufa sahihi ni hivi.
1. Jamii forum 100%
2. Kigogo2014 90%
3. Mange kimambi 90%
Nikisha pita kwenye hivi vyombo vya habari huwa na uhakika 100 sina taarifa ambayo imenipita ambayo ni muhimu niifahamu.
Wakati huu wa corona vinananisaidia sana .
Je wewe vyombo vipi vya habari unaviregemea kwa sasa.
Tabutupu Nyaishozi, Kagera.
Sent using Jamii Forums mobile app