Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,012
- 1,969
Huyu Millard anaelamba miguu ya Bashite huyu ni mchumia tumbo tu anashutumiwa kufanikisha utekaji ktk tukio la sihaMilard the best
ITV daima
Jf
Huyu Millard anaelamba miguu ya Bashite huyu ni mchumia tumbo tu anashutumiwa kufanikisha utekaji ktk tukio la sihaMilard the best
ITV daima
Jf
Huyu Millard anaelamba miguu ya Bashite huyu ni mchumia tumbo tu anashutumiwa kufanikisha utekaji ktk tukio la siha
Mkuu mimi ukuu wa wilaya siutaki. 👹👹👹👹❌👹👹❌Duuuh haya nimekusikia mzalendo ukuu wa wilaya unakuhusu 😉😉😉😉
Nilitegemea nione angalau
1. TBC1
2. CHANNEL 10
3. UHURU NA MZALENDO
4. MSEMAJI WA SERIKALI
5. SPIKA WA BUNGE
6. WAKUU WA MIKOA
a. Ally Happy
b. Chalamila
c. Bashit
7. Facebook
Kumbe Mange kimambi na Kigogo2014 ni Vyombo vya habari...!!.Binafsi vyombo vyangu vya habari ninavyo viamini kwa taarufa sahihi ni hivi.
1. Jamii forum 100%
2. Kigogo2014 90%
3. Mange kimambi 90%
Nikisha pita kwenye hivi vyombo vya habari huwa na uhakika 100 sina taarifa ambayo imenipita ambayo ni muhimu niifahamu.
Wakati huu wa corona vinananisaidia sana .
Je wewe vyombo vipi vya habari unaviregemea kwa sasa.
Tabutupu Nyaishozi, Kagera.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuta habari ya mwaka jana ndio breaking news halafu huwa nawashangaa wale vijana hamna kitu wanapresent kikavutia ni totally kutoa sifa za kijinga kwa tabaka fulaniTBC ARIDHIO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile sifa ni balaaaUnaweza kuta habari ya mwaka jana ndio breaking news halafu huwa nawashangaa wale vijana hamna kitu wanapresent kikavutia ni totally kutoa sifa za kijinga kwa tabaka fulani