Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Kabisa aise yuko vizuriMduchu sana huyo sema akili nyingi mno zimetangulia umri
Kabisa aise yuko vizuriMduchu sana huyo sema akili nyingi mno zimetangulia umri
30 - 35Mimi huwa naona kwenye Salary sleep nimeandikiwa nastaafu 2046,sasa sijui nina miaka mingapi ?
Una miaka 33Mimi huwa naona kwenye Salary sleep nimeandikiwa nastaafu 2046,sasa sijui nina miaka mingapi ?
Mdogo wangu hujambo?Mwanzoni mwa 2020 ndio nitafika hiyo![]()
Yaani we huo mwaka mmoja ndio wakuniita me mdogo wako?Mdogo wangu hujambo?
Kwahiyo umeamini nitakuwa mdogo kweli? 😂😂😂😂Au uongo?? Kumbe wewe mdunchu hivyo??
😂😂😂😂jamani.Mduchu sana huyo sema akili nyingi mno zimetangulia umri
Haha! Sawa maana naona unataka kuniaminisha kuwa una miaka 19 ilihali nafsi yangu imekataa.

hy hy umptia sasa.33 🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Mimi huwa naona kwenye Salary sleep nimeandikiwa nastaafu 2046,sasa sijui nina miaka mingapi ?
-17.675.53709 ~ 17.650×9•5-15+67+346÷346+2684+367-374×253÷4•26-15+123-100+2•2-0+0-5+956-+4=
HEBU TUONE PICHA YAKO ILI TUAMINIUsiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
UsiwaambiePunguza miezi kadhaa maana mwakani mwezi wa pili nafikisha.