Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Yaani kama wewe mkuuuubwa vile. Ngoja siku ntakayoweka picha yako humuAu uongo?? Kumbe wewe mdunchu hivyo??
Yaani kama wewe mkuuuubwa vile. Ngoja siku ntakayoweka picha yako humuAu uongo?? Kumbe wewe mdunchu hivyo??
Nakubaliana na wewe 😄😄😄😄😂😂😂😂jamani.
Mimi mkubwa kwako eti au unasemaje Relief Mirzska??
Inini hiyo?Vitoto nyie.
Ile haikufanya kazi ujue
Yaani we huo mwaka mmoja ndio wakuniita me mdogo wako?
Emu kuwa serious twin chibonge.
Hembu taja tuone







Huu umri wa dada yangu wa kwanza
We last born wacha fujoHuu umri wa dada yangu wa kwanza
Aah wapi 😂😂Mimi Ni old cargo.
Kama umeangalia hapo Basi umepotea
Hahahaha...We last born wacha fujo

Haki tenaAah wapi![]()
Na vile vipics vya kule kwa Jr 😛😛Haki tena
Mybe kwa maandishiHahahaha...
Mwenzio last born Ila nishakuwa old cargo![]()
Shauri zakoMybe kwa maandishi

Ule Ni mwili tu.Na vile vipics vya kule kwa Jr![]()
Nishakosa mume Saint anne umri unanikoseha Mume 😂😂😂Mi natafute mke hapa age 25 mpaka 35 asiwekajichubua tuu.
Unavyopambana sasa kuniaminisha 😅Ule Ni mwili tu.
Mama yangu ana 60 ila akisimama hapa Ni binti kuliko dada yangu wa 40
Nakuambia ukweli.Unavyopambana sasa kuniaminisha
Ngoja nikubali tu Dada![]()


..