Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,364
Naelekea kwenye uzee!
34 yrs old!!!
![]()
Naelekea kwenye uzee!
34 yrs old!!!
![]()
Abee, kwani unaogopa?Love![]()
Kweli? Nimekuzidi miwili
Siwajui etiNope! mbona kama Mariah Carey na Nicky Canon![]()
Bila shaka ni 24Below 25
Umekosaa rudi tenaa.Bila shaka ni 24
Haha! Hapo natoa 10 nakuachia 29. Nayo nakupunguzia 3 nakubakizia 26.
23. Hapa sirudi tena.Umekosaa rudi tenaa.
Sawa da mzuriKweli? Nimekuzidi miwili
umekosa na usirudi tena.23. Hapa sirudi tena.
Shabaaash.Haha! Hapo natoa 10 nakuachia 29. Nayo nakupunguzia 3 nakubakizia 26.
Haha! Sawa maana naona unataka kuniaminisha kuwa una miaka 19 ilihali nafsi yangu imekataa.umekosa na usirudi tena.
Sijui nikupunguzie hiyo 26 niliyokupa ?Shabaaash.
Siwajui eti