Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Mwanzoni mwa 2020 ndio nitafika hiyo šNgoja nikutajie una miaka 23 ukibisha nahama JF
Mwanzoni mwa 2020 ndio nitafika hiyo šNgoja nikutajie una miaka 23 ukibisha nahama JF
Wewe ni wa 1981??
42Usiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
Cc Zero IQ
Wewe ni wa 1997??Mwanzoni mwa 2020 ndio nitafika hiyo![]()
Usiseme kwa nguvu jamani šWewe ni wa 1997??
Nahisi hawajasikia dadaoops sawa mdogo wangu ila hawajasikia
Tumeskia dogoNahisi hawajasikia dada
šššššš hamjasikia wengi lakiniTumeskia dogo
Una miaka 7 kasoro siku 6
HakikaSawia! Hapa JF tunajuana kwa ID.
JF ibakie kuwa JF na mambo mengine yaendelee kama yalivyo kwa sauti ya chini chini..
Ukijumlisha miaka yenu half ugawe kwa mbili kisha utoe tano ndio umri wangu huo.