Taja tabia ulowahi kuifanya

roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
610
Points
500

roja24

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
610 500
Kichwa chajieleza, taja tabia mbaya ulowahi kuifanya ulipokuwa mtoto especially tulokaa/kulia uswahilini , naanza na Mimi TABIA YA KUMZOMEA ASUBUHI MTOTO MWENZENU KAMA NI KIKOJOZI ok tiririka nawe kama hukukulia masaki!
download.jpg
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
7,097
Points
2,000

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
7,097 2,000
Kama kweli ulikua unafanya hayo nina hakika elimu yako kama ilienda sana basi ni form four na ukazungusha

Kikwete alikuwa haendi shule utotoni mwake, baadaye akaja kuwa rais wetu. Mkapa alikuwa anachimba panya mpaka akawa anatega shule kwa ajili ya kutafuta kitoweo naye akaja kuwa rais wetu. Watu wanabadilika, utoto ni utoto, unataka kuniambia kuwa wewe bado changu mpaka leo hii? You have no idea mimi ni nani. Pole though.
 
roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
610
Points
500

roja24

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
610 500
Kikwete alikuwa haendi shule utotoni mwake, baadaye akaja kuwa rais wetu. Mkapa alikuwa anachimba panya mpaka akawa anatega shule kwa ajili ya kutafuta kitoweo naye akaja kuwa rais wetu. Watu wanabadilika, utoto ni utoto, unataka kuniambia kuwa wewe bado changu mpaka leo hii? You have no idea mimi ni nani. Pole though.
Yap don't judge a Book by looking at its COVER Story. Especially past
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
7,097
Points
2,000

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
7,097 2,000
Ahahahaha mzee baba umetishaaaa hiyo sijawahi kuifanya mmmmh

Nilikuwa nafanya vile kwa sababu Mwalimu mkuu alikuwa anapiga sana tena bila hata huruma na pasipo kuwa na kosa, nafikiri alikuwa na stress na mumewe nyumbani. Yule Mwalimu alikuwa akija shuleni tu eti anakuja na fimbo zake toka nyumbani na alikuwa na hasira tele maana alikuwa hana hata tabasamu. Muda wote alikuwa yeye na fimbo mpaka tukambatiza Mwalimu kifimbo. Akienda msalani, anakwenda na fimbo na kama sikosei nafikiri alikuwa analala nazo kumchapa mumewe na zinazobaki anazileta shuleni kutumalizia sie tusio na kosa...alikuwa too much na ndiyo maana watoto watukutu walikuwa wanamuwinda na manati na matofali ili wamshikishe adabu.
 
Umenikumbusha kuna majamaa ya darasa LA tano sita na saba walikuwa wanapenda kuchonganisha . Yaani wanakuja darasani kwenu wanamtafuta mtoto mwenye afya afya ivi au mtukutu wanakuuliza Flani wa darasa la sita unamjua !? Je Unamgwaya!? /anakubonda!? Unampiga!? Ukijibu unampiga, wanaenda kumuuliza the same words , HAPOOOO NDO WASHACHONGANISHA , SAA NANE MUDA WA KUTOKA WANAMLETA WANAMWAMBIA HAIWEZEKANI TWENDENI MKAZIPIGE . MNAFIKA UWANJANI ZINAANZA KUPIGWA BILA SABABU WALA KISA WALA CHUKI. ATAKAETOKA DAMU AMESHINDWA NA KESHO YAKE ASUBUHI NI GUMZO MPAKA KWA wakina Dada ndo story sasa USIOMBE UWE NDO ULOPIGWA ALAFU KWA BAHATI MBAYA UWE UMEVIMBA USONI HATA PADOGO TUU, Basi utaomba UHAME SHULE AHAHAHAHAHHA
 
Kweli kabisa ila mie nilikuwa nawaangamiza sana wapuuzi kwani mtaani nilikuwa na kaka zangu wababe. Shuleni mtu akinichefua tu haponi, kama ni saizi yangu nilimshikisha adabu pale pale. Niliogopwa sana shuleni na sikuwahi kupigwa hata siku moja.
 
Forum statistics

Threads 1,364,581
Members 520,767
Posts 33,320,883
Top