Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,666
- 12,039
Punguani!!Wanafiki na hatujui kiingereza wasomi na wasio wasomi
Punguani!!Wanafiki na hatujui kiingereza wasomi na wasio wasomi
Lakini tz tumeshindwa kutumia fursa ya soko
Tuna watu wa ajabu sana walikuwa madarakaniYaani Sisi hatuhitaji sadc wala ECOWAS..
Ni Mikataba na majirani Tu inatosha
Habari za umbea na majungu ndio zinapendwa zaidi na vinara wa kuzitangaza ni wanaumeMshana wewe senior sana humu, hebu fafanua hili..
Tanzania tunaongoza kwa ujuaji,ukielezea shida anatokea mtu anakuambia shida yako cha mtoto yangu ni balaa.
HahahaTanzania tunaongoza kwa ujuaji,ukielezea shida anatokea mtu anakuambia shida yako cha mtoto yangu ni balaa.
Hivi Wale wa awamu ya Tano wangetawala kuanzia Uhuru ingekuaje ?Mkuu kwenye hii ishu ya lugha hapa baada ya kutembea nchi kadhaa nimegundua tuna advantage sana kutumia lugha yetu ya kiswahili kuliko lugha za wakoloni...
Kuna siku moja nilienda uhamiaji makao makuu nikaingia kwa ndani kuna ofisi wanakoandaa passport ina maafisa kama 10 hivi aisee nikashangaa wanaongea kwa kilugha chao kupiga stori dah nikashtuka sana tena ni watu wenye manyotaHivi Wale wa awamu ya Tano wangetawala kuanzia Uhuru ingekuaje ?
Nadhani Kuna Lugha ya kabila Fulani ingekua ni lugha mbadala wa Kiswahili...
Makao makuu yapiKuna siku moja nilienda uhamiaji makao makuu nikaingia kwa ndani kuna ofisi wanakoandaa passport ina maafisa kama 10 hivi aisee nikashangaa wanaongea kwa kilugha chao kupiga stori dah nikashtuka sana tena ni watu wenye manyota
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Mkuu bado upo Dubai?Mkuu umemaliza mada.
Haya ndio mambo makuu yanayotesa na kutofautisha na nchi zingine
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Tunaongoza Kwa ushabiki mandaziTanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla.
Kwa kuanza..
1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
Hio ndio sifa ya watanzania,,jumlisha majungu na kupenda mambo ya hovyo kama Mzee Mpili,,Piere Liquid,,Babu wa Samunge nk na KUTOJALI KABISA mambo ya msingiHili la unafiki na umbea limetajwa sana, hebu fafanua mdau
2. Ndio nchi pekee afrika ya mashariki yenye wanawake wenye macho makubwa.Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla.
Kwa kuanza..
1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
Hahahah hii nimeiona sana hapa Uganda ..Kuna siku moja nilienda uhamiaji makao makuu nikaingia kwa ndani kuna ofisi wanakoandaa passport ina maafisa kama 10 hivi aisee nikashangaa wanaongea kwa kilugha chao kupiga stori dah nikashtuka sana tena ni watu wenye manyota
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Poa poa mkuu.
Uganda, RWANDA, BURUNDI,KENYA,MALAWI,ZAMBIA,SEYCHELES,MOZAMBIQUE,DRC,SOMALIASio kweli, Drc Congo imepakana (Congo Brazzaville, Center Africa repabluc, South Sudan, Uganda,Rwanda, Burundi, Tanzania,Zambia,Angola)