- Thread starter
- #21
๐๐๐๐Tanzania tunaongoza kwa ujuaji,ukielezea shida anatokea mtu anakuambia shida yako cha mtoto yangu ni balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐Tanzania tunaongoza kwa ujuaji,ukielezea shida anatokea mtu anakuambia shida yako cha mtoto yangu ni balaa.
Yes na ambayo haijanufaika nayo vya kutoshaNdio nchi pekee Duniani yenye madini ya Tanzanite.
Hili la unafiki na umbea limetajwa sana, hebu fafanua mdauNchi ya unafiki
Mshana wewe senior sana humu, hebu fafanua hili..Wanaume wambea, wapika majungu na wasengenyaji
Mkuu umemaliza mada.2. Mabaya:
(a) Uchawi/Ushirikina
(b) Unafiki kiwango cha PhD.
(c) Uvivu
(d) Umbea.
(e) n.k
Sio kweli, Drc Congo imepakana (Congo Brazzaville, Center Africa repabluc, South Sudan, Uganda,Rwanda, Burundi, Tanzania,Zambia,Angola)Tanzania ndo nchi inaongoza kwa umbea
Kwaiyo na ww umelichukua jumla jumlaSikuwahi kujua hili pia..
Nalichunguza piaKwaiyo na ww umelichukua jumla jumla
Hii ni kweli??Tanzania ndo chimbuko la chips mayai aka zege
Ya kwanza Africa ni DRC imepakana na nchi 9, inafatia Tanzania na Zambia, zimepakana na nchi 8.Ndio nchi iliyopakana na nchi nyingi Zaidi kuliko nchi.zote Africa
Sio kweli, Drc Congo imepakana (Congo Brazzaville, Center Africa repabluc, South Sudan, Uganda,Rwanda, Burundi, Tanzania,Zambia,Angola๐๐๐๐๐
KenyaYa kwanza Africa ni DRC imepakana na nchi 9, inafatia Tanzania na Zambia, zimepakana na nchi 8.
Hii inaweza kuwa kweli. Mwl Google pia anakubali.Tanzania ndo chimbuko la chips mayai aka zege
Duh kama ni hivi sawaKenya
Uganda
Burundi...
Lakini tz tumeshindwa kutumia fursa ya sokoKenya
Uganda
Burundi...