Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

3 idiot ezi hizo nipo form One hahaha but niliijua 2012 Pamoja na let it shine sijawahi zichoka hizi movie
 
The impossible.

Imebase kwenye "true story" ya familia iliyonusurika kifo kipindi cha Tsunami.Familia ya watu 5 ilisalimika yote.
 
Back
Top Bottom