Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.

Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni cinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.

Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni
BLOOD DIAMOND
Solomon Vandy
Daaa Umenipa mzuka ngoja nitafute "KIBUYU" - TRANSCEND 500GB yangu nitizame Predator,Commando(Jeni),Full Metal Jacket na Set it off.
 
Back
Top Bottom