Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

Daaa Umenipa mzuka ngoja nitafute "KIBUYU" - TRANSCEND 500GB yangu nitizame Predator,Commando(Jeni),Full Metal Jacket na Set it off.
Unanikumbusha kipindi cha chuo. Nillibaki field chuoni, nikakutana alikuwa yupo field halafu ana sapu akawa movie hataki kabisaa basi akanisusia external yake....alikuwa haamini nilivyokuwa nazikata zile movie......
 
Fast n furious.. Hata nitazame Mara 10 sichoki..kuanzia ya kwanza hadi muendelezo
 
71iJfhMUgkL._SX342_.jpg
enemy-poster-1e858.jpg
fa3cc57c339397dbae65e463b64d51620b1a008e_500.jpg

ENEMY AND
MEMENTO HIZI LAZIMA UZIRUDIE
 
Poetic justice hii movie nimeshaiangalia kama mara milioni napenda miyeyusho ya tupac mle ndani
 
Back
Top Bottom