Taifa stars vs Mozambique.

Taifa stars vs Mozambique.

ina maana vijana walibeteka kwa ushindi ule wa juzi? Ama.. Kwa nini tunaruhusugi magoli ya fasta fasta?
 
Dk ya 71
Msumbiji 1 - 0 Tanzania
 
Haya basi..kama tumeshindwa turudi tujipange. Lakini sijui kuwa ni kwanini tunafungwa magoli ya mapema sana..
 
Mozambique 3 vs Tanzania 1

Naona mawenge hivi nikweli au ahaaaaaaaa haapanaa! Haiwezekani!
 
Wengine bana mbna tunapelekana mitima kasi
 
Back
Top Bottom