Taifa stars vs Mozambique.

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
wakuu habari za leo! Fixtures zinaonesha mechi leo. Kama kweli mwenye updates aweke hapa.
 
mkuu unajua fixtures zimenichanganya hadi nime BET leo ndo maana nashangaa. Anyways ahsante mkuu ngoja nifuatilie.

iumbee timu yetu ifungwe goli mbili tu,alafu icheze vizuuuuuuri kama ilivochezaga kule kodivaa
 
Wakuu kwa wale wenye updates msisite kutupa first eleven na timu and any related updates
 
Wakuu kwa wale wenye updates msisite kutupa first eleven na timu and any related updates
First eleven inayotarajiwa ni Juma Kaseja, Shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Aggrey Morris, Kelvin Yondani, Shaban Nditi, Mwinyi Kazimoto, Frank Domayo, Mbwana Samata, Thomas Ulimwengu na Mrisho Ngasa. All the best vijana wawakilishi wa Tanzania.
 
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulen ametaja kikosi chake kitakachoanza mechi ya leo dhidi ya Msumbiji (The Mambas) itakayochezwa Uwanja wa Taifa ulioko Zimpeto Maputo. Mechi itaanza saa 10 kamili.

Stars inaundwa na;1. Juma Kaseja, 20. Shomari Kapombe, 22. Erasto Nyoni, 6. Aggrey Morris, 5. Kevin Yondani, 19. Shaabani Nditi, 8. Mrisho Ngasa, 16. Frank Domayo, 11. Thomas Ulimwengu, 10. Mbwana Samata na 15. Mwinyi Kazimoto.

Wachezaji wa akiba;18. Deogratias Munishi, 17. Amir Maftah, 13. Jonas Mkude, 3. Haruna Moshi, 12. Simon Msuva, 9. Christopher Edward, 14. John Bocco, 7. Ramadhan Singano na 21. Nurdin Bakari.
 
asanteni wakuu kwa updates.tuiombee timu yetu ifanye vizuri maana hata kama ni vilaza bado ni wetu and we can not avoid them
 
Team iko kwenye morali ya hali ya juu sana..wakifungwa wajilaumu wenyewe maana sikumbuki kuwafunga wamakonde malaba kwao!!!!kazi ipo
 
tbc one wataonyesha au ndo tutegemee yaleyale ya docivwaa
 
wakuu tutumie uzi huu kuweka updates za mechi kadri tuzipatavyo.
 
Back
Top Bottom