TAIFA STARS: Tatizo kocha au wachezaji?

Nchi ya Tanzania ina matatizo mengi sana yanafika hata bilioni,ukijitahidi kutatua moja halisaiidii kitu,kuhusu soka letu,baadhi matatizo yetu ya msingi ni yafuatayo

  • Uongozi mbovu
  • Simba na Yanga
  • Mfumo wa Ligi ni mbovu
  • Hatuna mipango endelevu ya muda mrefu
  • Hatuna makocha wazawa wenye ujuzi na uzoefu wa kutosha
  • Wachezaji hawajitumi/hawana morali na timu ya Taifa
  • Tunaajiri makocha ambao wanapenda fomesheni ya kujilinda sana

Pia makocha nao ni vilaza sana tu.
 
Hii timu baada ya kuchukuliwa na babu Jan Poulsen imekuwa kama homa ya kipindi,tunashindwa hata na Chad nyumbani?Tatizo mi silielewi kama ni kocha,mfumo au wachezaji wanaounda kikosi hicho.

tatizo lililopo hatuna moyo wa subira tu tungekuwa nao nadhani tungekuwa level za zambia..
 
tatizo lililopo hatuna moyo wa subira tu tungekuwa nao nadhani tungekuwa level za zambia..
Kwa Maximo kidogo alikuwa anajitahidi kuvumbua na kulea vipaji mkuu.Huyu wapiiiiiiiiiiiiiiii...................
 
huyu kocha ndio anawafaa taifa stars
 
Last edited by a moderator:
Jana Kim Poulsen kataja kikosi chake,lakini amenishangaza sana kuteua wachezaji ambao hawajacheza hata mechi moja ya ligi ngwe ya pili,kama Aggrey Morris na Erasto Nyoni na yule golie dogo wa Azamu Manula.Hivi wachwza kama Javu,Tegete,Seif Abadalla.Lyanga,Oscar Joshua na Ally Mustapha hawaoni?Ujue tunakipiga na Indomitable Lions...
 
Huyu kocha hafai kabisa kwa sababu anasema anataka wachezaji ambao wapo fiti kabisa kucheza kwani Mbwana na Ulimwengu amewaona lini wapofiti kabisa na Tegete amemwona lini anamatatizo kwamba hawezi kucheza?,Hizi ni siasa zake tuu,Dawa ni Hii iundwe timu ya taifa B makocha wawe wazalendo ndio wakina mkwasa na Morocco hawa wanauchungu ,mwache babu achague first eleven yake halafu makocha wa b wachague wao tuone zikipambana zenyewe halafu utapenda mwenyewe.

Jamani acheni kumchagulia kocha kikosi. Mwenyewe ameshasema anaiandaa timu ya kushiriki AFCON 2015 kwa mwacheni ili ahukumiwe mwaka huo kama atashindwa.
 
Mi nadhani timu yetu inastahili kuingizwa kwenye kitabu cha GUINESS kama timu pekee ya taifa ambayo kila inapokuwa na mechi inatangaza kikosi kipya. Wachezaji kila siku hawajazoeana pia mori inashuka nani atakubari avunjwe mguu wakati hana uhakika kama mechi ijayo bado atkuwa mchezaji wa taifa!
 
Huyu kocha hafai kabisa kwa sababu anasema anataka wachezaji ambao wapo fiti kabisa kucheza kwani Mbwana na Ulimwengu amewaona lini wapofiti kabisa na Tegete amemwona lini anamatatizo kwamba hawezi kucheza?,Hizi ni siasa zake tuu,Dawa ni Hii iundwe timu ya taifa B makocha wawe wazalendo ndio wakina mkwasa na Morocco hawa wanauchungu ,mwache babu achague first eleven yake halafu makocha wa b wachague wao tuone zikipambana zenyewe halafu utapenda mwenyewe.

Kweli mkuu........
 
Kocha Kim anajitahidi kufanya vizuri,tatizo lake kubwa ni kutokubali kukosolewa.Maana kuna wachezaji ambao viwango vyao vinatia shaka.Haiwezekani wachezaji hao hao aliowachagua miezi mitatu wakabaki hao hao bila kutolewa kwa walioshuka viwango na kuingiza ambao wamepandisha viwango kwenye ligi inayoendelea.
 
tatizo litakwisha tukishafungiwa na genge la wahuni waliojoficha Zurich..
aka FIIIIFA ,the personal property ya Jose' Sepp Blatter.....
 
tatizo litakwisha tukishafungiwa na genge la wahuni waliojoficha Zurich..
aka FIIIIFA ,the personal property ya Jose' Sepp Blatter.....

Bora tufungiwe,kocha anachagua wachezaji wa Azam ambao hawajacheza ligi kwa miezi 6.makipa wawili toka timu moja,wachezaji wa LIBOLO walioshuka viwango..........
 
Back
Top Bottom