TAIFA STARS: Tatizo kocha au wachezaji?

A coach can only do so much. Maybe now people will realize that Maximo did a fantastic job with the quality of players that he had.

The problem is the players. But it is not really the players fault either. It is the system they were brought up in.

Tanzanian football (and by this i mean all the stake holders eg TFF, Simba, Yanga, etc) is always looking for shortcuts to success. They don't want to invest time and money on youth development.

TANZANIAN FOOTBALL WILL NEVER GO ANYWHERE UNLESS MORE TIME AND MONEY IS PUT INTO DEVELOPING YOUNG PLAYERS.
 
tatizo si kocha wala wachezaji. hata wakija akina guardiola, dalglish, wenger, fergurson, messi, etc itabaki hivyohivyo!
tatizo ni system na siasa zinazoizunguka.

system - sijui mpango wa kulea vipaji kuanzia udogoni (kama upo) umefika wapi na uko effective kiasi gani
siasa - tukiweza kuua u-simba na u-yanga, inaweza kutokea revolution isiyo mfano kwenye maendeleo ya soka letu

kaka huo u-simba na u-yanga kwa timu hii ya poulsen mi siuoni kama we ni mfatiliaji mzuri utaona kwenye timu ya poulsen mpaka ss ni mchezaji mmoja ambaye ni nurdin bakari peke yake ambaye na yey hutokea bench. Lkn mbona hujazungumzia u-Azam
 
Babu hana mpya huyo,anaita akina ma-bottle.
 
Sisi baada ya kufikiria kuandaa program ndefu kwa Taifa stars ya miaka 10 ijayo bado tunahangaika na hawa wazee. Kazi kweli kweli. Kuna mtu anaweza kutoa sababu za msingi kwanini Samatta kaachwa?
 
Hakuna,hata Cannavaro hakustahili kuachwa kwa mabeki wa kati tulionao TZ hivi sasa.Babu Poulsen ana matatizo kwenye halmashauri kichwani.
 
Kaka embu tuambiane hapa kocha gani tulishawahi kusema ameweza kazi? Nakumbuka paulsen alovyoshinda challenge tulisema kocha mzuri ila leo hafai
Na waulize wanaompinga ni kocha yupi ambaye amefanya vizuri zaidi yake kwa miaka ya hv karibuni achilia mbali wale wa 1980/1982? Ultimate result/achievement ya kocha na timu kwa ujumla ni kufika FAINALI au kuchukua KOMBE la mashindano, sasa hebu wakueleze ni Maximo au kocha yupi yeyote yule aliyefika FAINALI au KOMBE zaidi ya Poulsen, mwacheni atengeneze timu yake mkataba wake ukiisha ndo msum up alichpkifanya, tatzo letu ss tunapnde waigizaji sana kama Maximo, Julio and the likes......
 
Sisi baada ya kufikiria kuandaa program ndefu kwa Taifa stars ya miaka 10 ijayo bado tunahangaika na hawa wazee. Kazi kweli kweli. Kuna mtu anaweza kutoa sababu za msingi kwanini Samatta kaachwa?

unazungumzia kuandaa program ya miaka kumi...wakati hata ya miaka miwili hatuna.

mnazungumzia uzee wa wachezaji wa national team, kwani wanatoka mwezini...hizo klabu zenu zimejaa wazee na magalasa ya wakongo, warundi, warwanda, waganda, wakenya...na wapuuzi wengine wengi wasio la lolote huko kwao mfano huyu Sunzu wa Simba au Mwape wa Yanga...nani hata anawajua huko kwao Zambia?

takataka zote pahala pake ni bongo kama ilivyo kwa mafamba ya kutoka uchina..no wonder na katika soka ni kadhalika.

Bongo kweli kila kocha wa kigeni na zimwi lake..sasa ni Samata Samata Samata...yale yale ya Kaseja, Kaseja, Kaseja...ujinga na upumbavu umetamalaki katika vichwa vyetu kiasi cha kufikiri kila kitu ni watu na si mfumo...kwani na Samata akiwemo tuna nini la kujivunia???!!!!

Akili za kijinga kama wapumbavu tunaopenda kushabikia ligi yao..nakusudia waingereza wanaodhani bila Rooney hawawezi kuchukua kombe Euro 2012(wanasahau kuwa shida ni mfumo wao wa kuendesha soka na siasa zao za soka)..sasa issue ni Harry Redknap aikache Spurs aende Three Lions...kila siku hawaishi ajenda nasi ni kadhalika.

Ni lini tutaacha upumbavu wa Abunuwasi kuangalia tulipoangukia na si tulipojikwaa???!!!! Au tunasubiri Masiha kutoka wapi Zurich(HO za FIFA), Cairo(CAF), siitaji CECAFA maana ni wapumbavu watupu.
 
T

Tomboka Tomboka Mkuu....wape wape rindima.....nin bhana......:A S embarassed::eyebrows::focus:
 
Kwa akili za kawaida tu unaweza kugundua kuwa tatizo ni kocha!Wakati wa Maximo hadhi ya timu ya taifa ilikua juu,uwanja ulikua unajaa,wachezaji walikua wanaona fahari kuchezea timu ya taifa.Sasa hayo yote hayapo.Maximo aliwezesha timu kuingia makundi ya kuwania nafasi ya kushiriki fainali za mataifa ya afrika,na kwenye makundi timu ikatoa ushindani kiasi kwamba mpaka mechi ya mwisho tulikua na nafasi ya kusonga mbele,leo tunapumulia mashine hata kupata nafasi ya kwenda kwenye makundi,kocha hafai kabisa japokua pia tuna matatizo ya kimfumo lakini huyu babu anaongeza tatizo!
 
Kweli kabisa. Kocha kashusha morali ya wachezaji hata wananchi wameacha kufuatilia. Enzi zile kila mtu anataka kuwepo uwanjani Taifa Stars ikicheza. Huyo babu aondoke tu.

Nilishangaa anasema hamtaki Samatta kisa anachezea sana mpira, ni mbinafsi. Lakini anawezaje kusahau Samatta ni kijana mdogo anapaswa kufunzwa na huu ndo muda wake wa ku'mature haswa kimpira. Kwanini hampi hiyo nafasi kama Tegete alivyopewa na Maximo? Dogo anaifungia Mazembe karibu kila mechi alafu babu anamdharau! Mi simwelewi hata kidogo..
 
Mfumo mzima wa uendeshaji soka umeoza. Ni ajabu kwamba hakuna timu ya ligi kuu iliyocheza zaidi ya mechi 5 toka mwaka huu uanze. Hata kama wachezaji watakaa kambi na kucheza mechi za majaribio, hali hii haiwajengi. Intensity ya competitive games ni muhimu sana. Uendeshaji wa ligi hususani katika upangaji wa ratiba na uendeshaji kifedha bado upo zama za kale. Tanzania inahitaji shule za soka katika kila mikoa ambazo zitakuwa zinaendeshwa kwa mwaka mzima on a part time basis ili kuwapa fursa vijana kuweza aidha kusoma au kuendesha shughuli zao zingine za kuwapatia vipato. Katika shule hizi ingependeza kuwe na makundi ya wanafunzi kuendana na umri na wao pia wafundishwe falsafa ya soka ambayo taifa hili inataka icheze. Hatuhitaji makocha wa kigeni kufanya haya, tuanze na wazawa, walimu wenye ufahamu wa mikoa yao na wapi wanaweza kupata wachezaji. Pia ili kulea hivi vipaji ni vyema klabu zikanyimwa fursa ya kuwasajili hawa vijana mpaka wawe wamemaliza elimu yao ya soka ambayo inaweza kuwa pindi wanapofikia labda miaka 18. Kwa hili ni vyema tukajifunza kutoka kwenye mfumo wa soka la vijana la Ufaransa

Ingawa soka letu bado ni la ridhaa kwa kiasi kikubwa, ni vyema pia kukawa na sheria ndogo ya uajiri ya wanasoka ili vilabu vikome kuwatumia na kuwatupa wachezaji kama condom vile. Si uungwana kwa klabu kumchukua mchezaji na kisha kumtelekeza pindi anapoumia au anapopoteza kiwango muda mfupi baadae. Ni aibu kukuta klabu zinasajili wachezaji 5 au 10 kila dirisha huku zikiwafukuza wale wa zamani.
 
Kwa akili za kawaida tu unaweza kugundua kuwa tatizo ni kocha!Wakati wa Maximo hadhi ya timu ya taifa ilikua juu,uwanja ulikua unajaa,wachezaji walikua wanaona fahari kuchezea timu ya taifa.Sasa hayo yote hayapo.Maximo aliwezesha timu kuingia makundi ya kuwania nafasi ya kushiriki fainali za mataifa ya afrika,na kwenye makundi timu ikatoa ushindani kiasi kwamba mpaka mechi ya mwisho tulikua na nafasi ya kusonga mbele,leo tunapumulia mashine hata kupata nafasi ya kwenda kwenye makundi,kocha hafai kabisa japokua pia tuna matatizo ya kimfumo lakini huyu babu anaongeza tatizo!

Kufundisha soka Afrika hasa Bongo ni tofauti sana na majuu,babu haoni tofauti.
 
unazungumzia kuandaa program ya miaka kumi...wakati hata ya miaka miwili hatuna.

mnazungumzia uzee wa wachezaji wa national team, kwani wanatoka mwezini...hizo klabu zenu zimejaa wazee na magalasa ya wakongo, warundi, warwanda, waganda, wakenya...na wapuuzi wengine wengi wasio la lolote huko kwao mfano huyu Sunzu wa Simba au Mwape wa Yanga...nani hata anawajua huko kwao Zambia?

takataka zote pahala pake ni bongo kama ilivyo kwa mafamba ya kutoka uchina..no wonder na katika soka ni kadhalika.

Bongo kweli kila kocha wa kigeni na zimwi lake..sasa ni Samata Samata Samata...yale yale ya Kaseja, Kaseja, Kaseja...ujinga na upumbavu umetamalaki katika vichwa vyetu kiasi cha kufikiri kila kitu ni watu na si mfumo...kwani na Samata akiwemo tuna nini la kujivunia???!!!!

Akili za kijinga kama wapumbavu tunaopenda kushabikia ligi yao..nakusudia waingereza wanaodhani bila Rooney hawawezi kuchukua kombe Euro 2012(wanasahau kuwa shida ni mfumo wao wa kuendesha soka na siasa zao za soka)..sasa issue ni Harry Redknap aikache Spurs aende Three Lions...kila siku hawaishi ajenda nasi ni kadhalika.

Ni lini tutaacha upumbavu wa Abunuwasi kuangalia tulipoangukia na si tulipojikwaa???!!!! Au tunasubiri Masiha kutoka wapi Zurich(HO za FIFA), Cairo(CAF), siitaji CECAFA maana ni wapumbavu watupu.

Nimeipenda zaidi.
 
Tatizo wote wawili...Kocha na Wachezaji
1.kocha....hana mbinu mbadala....mfumo wake haueleweki...
2.wachezaji...baadhi hawana sifa tena za kucheza stars...Mfano...Machupa..kafunga goli ngapi ligi ya huko swedeni?...na yuko Kikosi cha kwanza katika timu yake?
..Jiulize kuhusu vietnam ligi yao...Timu ya babi na Mrwanda ..inashuka daraja...je wanaisaidiaje timu zao?

Ukweli ni kwamba hatuna wachezaji wenye ushindani

CECAFA...wadau wa mpira tunajua ...nini kilifanyika kuchukua kombe lile..na sasa watu wamipango wana malumbano na TFF..tegemea Vichapo CECAFA...nitarudi baadae
Jibu ni kuwa Coach hajui soka la Africa sasa linavyokwenda pili wachezaji wetu nao ni hoi bini taabani kwani hata akili uwanjani hawana. Anaglia juzi nini kilionekana na Msumbiji. Mechi zote za challenge nilikuwapo tatizo kubwa ni wachezaji na walimu wasio na ujuzi
 
Hii timu baada ya kuchukuliwa na babu Jan Poulsen imekuwa kama homa ya kipindi,tunashindwa hata na Chad nyumbani?Tatizo mi silielewi kama ni kocha,mfumo au wachezaji wanaounda kikosi hicho.

Tazama picha kubwa. Kuna mchezo gani Tanzania inashinda siku hizi? Kwa nini? Jibu utalipata hapo.
 
Hii timu baada ya kuchukuliwa na babu Jan Poulsen imekuwa kama homa ya kipindi,tunashindwa hata na Chad nyumbani?Tatizo mi silielewi kama ni kocha,mfumo au wachezaji wanaounda kikosi hicho.

Tatizo ni nchi imelaniwa,wewe ulishaona wapi mtu shule imemshinda,bahati nzuri mungu amemujalia kumpa kipaji cha mpira.Sasa badala ya kuona hicho ndio mkombozi wake anavimba kichwa na kujiona supastar.Analewa sifa toka kwa mashabiki uchwara ambao wengi wao ni walevi wa kupindukia kila kukicha wanatuharibia wachezaji kwa kutoa ofa za bia.Huku malaya nao wakiwamendea wachezaji wetu.Kitu cha msingi hapa ni kimoja kikubwa,wachezaji wawe professional zaidi kwa kuzingatia mafundisho ya mpira na kuwa serious na kila wanachofundishwa.Pia uongozi wa soka haupo kwani huwa napata hasira sana timu inapofungwa halafu sababu inakuwa maandalizi duni. viongozi waache tamaa ya hela waelekeze nguvu na akili zao kwenye soka na si kufikiria namna ya kuiba hela. Naogopa inawezekana haya yamerithiwa kutoka katika mfumo wa kiutawala wa wizi ambao nchi yetu inahangaika nao hivi sasa
 
Nchi ya Tanzania ina matatizo mengi sana yanafika hata bilioni,ukijitahidi kutatua moja halisaiidii kitu,kuhusu soka letu,baadhi matatizo yetu ya msingi ni yafuatayo

  • Uongozi mbovu
  • Simba na Yanga
  • Mfumo wa Ligi ni mbovu
  • Hatuna mipango endelevu ya muda mrefu
  • Hatuna makocha wazawa wenye ujuzi na uzoefu wa kutosha
  • Wachezaji hawajitumi/hawana morali na timu ya Taifa
  • Tunaajiri makocha ambao wanapenda fomesheni ya kujilinda sana
 
Back
Top Bottom