Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Kocha mkuu wa Taifa Stars aliyesimamishwa na CAF aliwajuaje wale wachezaji wote wa Tanzania wanaocheza nje? Miaka yote walikuwa wanaitwa wachezaji tunaowafahamu wanaocheza Ulaya nadhani hata hawazidi wanne, lakini zamu hii kawaleta kila pembe.
Kwanza inasemekana huyu kocha ni wakala, je tuhuma za mtangazaji wa EFM (Oruma) inaweza kuwa kweli kwamba alikuwa anawafuata kwa njia anayojua (kupata hongo halafu mchezaji anaitwa). Maana hata suala la Kevin kuachwa kwamba ni nidhamu za chini ya kapeti ni kwamba kukataa kutoa chochote.
Tuachane na hayo huyu kocha aliwajuaje hao wachezaji wote wanaocheza nje na yeye sio Mtanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app