TAIFA STARS: Tatizo kocha au wachezaji?

tatizo ni kocha,
Hana mfumo unao eleweka kachagua wachezaji yeye mwenyewe
anag'ang'ania wachezaji wa nje (soka la kulipwa)
Kocha mzuri utaona timu yake kipindi cha pili
lakini jana ameonyesha udhaifu mkubwa
Sisi waTz tunamchekea tu, watu wanaqualify na wanafukuza kocha......
tusiangalie matokeo tuangalie trend nzima, tunaelekea wapi?
 
Mi naona tatizo ni wachezaji,tutabadilisha makocha mpaka basi ila tusipobadili system nzima ya mpira wetu hatutafika popote!
Huwezi kua na wachezaji ambao wanafanya mazoezi kwenye viwanja vibovu kabisa,hawana diet ya kimichezo ila ni kula chips mitaani, hawana ari ya ushindi kwasababu wanajua hata wakishinda hawana maslahi ya kueleweka na vingine vingi!!

great great idea kama vile ulishawahi kuwa kambin na hii timu, imagine hata traki suit unazoona wamevaa kambin wanapokonywa kambi ikiisha, unamfanyisha mazoez mchezaj asbh,mchana na jion humpii chochote umempotezea the whole day nina familia,natakiwa nilipe kodi ya nyumba bado mahitaji madogo..

HALAFU UNANIAMBIA NIWE NA MORALI NA TIMU YA TAIFA...THUBUTU WEWE... Tutaendelea kuwakilisha tu uwanjan lkn nawakikishien hatuendi popote wajen..nyie subirien tu muone..club inanigaramia vizur kuliko timu ya taifa sasa kwann nisijitoe kwny club kwa nguvu zote..samata,nizar wata prove hili...naumia nikiitumikia timu ya taifa lkn TFF watoi hata mia kunitibu ila kwny magezet wanabakia kuudanya umma tumemfanyia hiv kumbe uwongo mtupu...tunasikia ahad kibao za hela kwa wachezaji ila kaz nafanya mm viongoz wanagawa kiraiic ukijidai kuhoj mtovu wa nidhamu then unafukuzwa au kusimwamishwa kambin..

Jasho nitoe mie hela yangu kiongoz anaenda kununulia vogue kwan mie sipend kuwa nalo..hata iweje siwez kuitumikia kwa moyo wote stars kama mambo yataendelea kuwa hiv.. C u when u c me..
 
Posho kwa Siku Taifa Stars..ni Elf 15.....mayb wapandishe Juzi...unategemea nini...mchezaji anaweza kuwa na ushindani Hapo?
Kocha mwenyewe muoga..eti anawatumia mapro zaidi...hahahaha...mapro gani hao wakati timu zao zinashuka daraja kila mwaka?..na wengi wao hawako First Eleveni katika hizo timu zao...

TFF nao wamekosa ubunifu..wako pale kama mazuzu...tu....Wadhamamini nao hawaoni hasara cjui...una market kitu ambacho hakileti Tija..
Kazi kupiga Picha Tu wakitoa zawadi...Kesho timu inafungwa watu hawanunii hiyo Bia yenyewe kwa hasira za kufungwa.....
 
tatizo ni kocha,
Hana mfumo unao eleweka kachagua wachezaji yeye mwenyewe
anag'ang'ania wachezaji wa nje (soka la kulipwa)
Kocha mzuri utaona timu yake kipindi cha pili
lakini jana ameonyesha udhaifu mkubwa
Sisi waTz tunamchekea tu, watu wanaqualify na wanafukuza kocha......
tusiangalie matokeo tuangalie trend nzima, tunaelekea wapi?

we hujui ukweli wa mambo kocha hana neno lolote...ila kuna wazembe wachache wanajali maslahi yao kuliko walio fanya kaz..itakuja kufikia kipind hakuna mchezaj anayetaka kwenda stars maana you work hard but you get little
 
tatizo si kocha wala wachezaji. hata wakija akina guardiola, dalglish, wenger, fergurson, messi, etc itabaki hivyohivyo!
tatizo ni system na siasa zinazoizunguka.

system - sijui mpango wa kulea vipaji kuanzia udogoni (kama upo) umefika wapi na uko effective kiasi gani
siasa - tukiweza kuua u-simba na u-yanga, inaweza kutokea revolution isiyo mfano kwenye maendeleo ya soka letu
 
Posho kwa Siku Taifa Stars..ni Elf 15.....mayb wapandishe Juzi...unategemea nini...mchezaji anaweza kuwa na ushindani Hapo?
Kocha mwenyewe muoga..eti anawatumia mapro zaidi...hahahaha...mapro gani hao wakati timu zao zinashuka daraja kila mwaka?..na wengi wao hawako First Eleveni katika hizo timu zao...

TFF nao wamekosa ubunifu..wako pale kama mazuzu...tu....Wadhamamini nao hawaoni hasara cjui...una market kitu ambacho hakileti Tija..
Kazi kupiga Picha Tu wakitoa zawadi...Kesho timu inafungwa watu hawanunii hiyo Bia yenyewe kwa hasira za kufungwa.....

naunga mkono kijana.
 
tatizo ni kocha,
Hana mfumo unao eleweka kachagua wachezaji yeye mwenyewe
anag'ang'ania wachezaji wa nje (soka la kulipwa)
Kocha mzuri utaona timu yake kipindi cha pili
lakini jana ameonyesha udhaifu mkubwa
Sisi waTz tunamchekea tu, watu wanaqualify na wanafukuza kocha......
tusiangalie matokeo tuangalie trend nzima, tunaelekea wapi?

Unadai kocha hafai,kwamba anachagua wachezaji wa kulipwa,hajui kupanga timu,ni maajabu.Una maana unataka achague wachezaji wa ligi yetu ya timu mbili wasioweza hata kuzifunga timu za ukanda dhaifu kisoka?

Kocha mchovu(alitukuta juu kisoka???) kama unavyodai, tuambie kocha mzuri tuliyewahi kuwa naye tukafanya mambo makubwa?
Wachezaji hakuna, mfumo haupo, washabiki na wadau nao hawataki kuukubali ugonjwa wetu...
 
great great idea kama vile ulishawahi kuwa kambin na hii timu, imagine hata traki suit unazoona wamevaa kambin wanapokonywa kambi ikiisha, unamfanyisha mazoez mchezaj asbh,mchana na jion humpii chochote umempotezea the whole day nina familia,natakiwa nilipe kodi ya nyumba bado mahitaji madogo.. HALAFU UNANIAMBIA NIWE NA MORALI NA TIMU YA TAIFA...THUBUTU WEWE... Tutaendelea kuwakilisha tu uwanjan lkn nawakikishien hatuendi popote wajen..nyie subirien tu muone..club inanigaramia vizur kuliko timu ya taifa sasa kwann nisijitoe kwny club kwa nguvu zote..samata,nizar wata prove hili...naumia nikiitumikia timu ya taifa lkn TFF watoi hata mia kunitibu ila kwny magezet wanabakia kuudanya umma tumemfanyia hiv kumbe uwongo mtupu...tunasikia ahad kibao za hela kwa wachezaji ila kaz nafanya mm viongoz wanagawa kiraiic ukijidai kuhoj mtovu wa nidhamu then unafukuzwa au kusimwamishwa kambin.. Jasho nitoe mie hela yangu kiongoz anaenda kununulia vogue kwan mie sipend kuwa nalo..hata iweje siwez kuitumikia kwa moyo wote stars kama mambo yataendelea kuwa hiv.. C u when u c me..

Kweli kabisa kaka,tatizo letu sisi tunapenda sana kupita shortcuts na hiyo itatugharimu mpaka mwisho!
Viongozi wanataka wapate sifa zaidi ya wachezaji!!

Nna uhakika watu kama kina samata kwa sasa akikaa mwenyewe anatamani angekua raia wa nchi nyingine ili kipaji chake kionekane zaidi
 
Vyote ulivyovitaja ni matatizo.

kama jana ulikuwepo taifa na jins game lilivyokuwa mi nakwambia wanao cheza nje itafika kipind watakacha kuja...mfano mzur we angalia kampun/timu yoyote ambayo wanalipa vizur lazima tu mtu unajituma tena na unakuwa mbunifu wa mambo mapya then performance inaongezeka lkn hii ya kumuweka mchezaji kambin 2wk then unakujuja kumpa hela isiyoeleweka nan atajituma...tutazid kupiga politics huku kwny soka mwisho wake litapotea kabisa tubakiwe na lig za mchangan..

INAUMA SANA SANA TENA MNO KWA VIONGOZ WACHACHE KUDIDIMIZA SOKA LETU KISHA LAWAMA WANAPEWA WACHEZAJ NA MAKOCHA WAKATI HAWANA HATIA
 
ukweli ni huu!!! wachezaji tanzania wako wengi sana tena wazuri....ila kocha ndio tatizo bora tuwe na kocha mzawa tu kama j.kiwelu..au kibaden wanatosha kuwapa wachezaji
 
Nakubaliana na mdau mmoja aliyesema uzuri wa kocha unauona kipindi cha pili kwa sababu timu inakuja na mbinu mbadala ya kuwakabili wapinzani.

Nachelea kusema wakati wa Maximo team ilikuwa inaonyesha mabadiliko/uhai kiuchezaji kipindi cha pili. SIYO SASA!
 
Tatizo wote wawili...Kocha na Wachezaji
1.kocha....hana mbinu mbadala....mfumo wake haueleweki...
2.wachezaji...baadhi hawana sifa tena za kucheza stars...Mfano...Machupa..kafunga goli ngapi ligi ya huko swedeni?...na yuko Kikosi cha kwanza katika timu yake?
..Jiulize kuhusu vietnam ligi yao...Timu ya babi na Mrwanda ..inashuka daraja...je wanaisaidiaje timu zao?

Ukweli ni kwamba hatuna wachezaji wenye ushindani

CECAFA...wadau wa mpira tunajua ...nini kilifanyika kuchukua kombe lile..na sasa watu wamipango wana malumbano na TFF..tegemea Vichapo CECAFA...nitarudi baadae
Taifa Stars kweli ni mahututi.
 
Binafsi nadhan tatizo sio wachezaji wala kocha, tatizo ni uongozi wa tff, wanajua kabisa Tanzania hatuna wachezaji wa kulipwa ambao unaweza kuwakusanya ndani ya siku tatu na wakazoeana, lakini TFF wataandaa kambi chini ya wiki moja unategemea timu kama hiyo itafanya vizuri, timu ikishinda mechi kibahati bahati itapelekwa bungeni au ikulu, juzi hapa tumeibahatisha Chad, badala ya timu kuondoka siku hiyo hiyo au kesho yake asubuhi kwa ajili ya mazoezi timu inarudi baada ya siku mbili na wanajua kabisa mechi ilikuwa karibu hivyo wakawa na siku moja ya mazoezi, lakini inashauriwa hutakiwi kuuchosha mwili kwa mazoezi makali siku moja kabla ya mechi, Chad wanakutangulia kufika kwenu halafu unategemea timu ishinde, tutawalaumu tu hawa vijana lakini wafanyeje viongozi wenu wanafikiria hela after all sisi ni wazuri kwenye nini kwa nini tuwalaumu footballers ambao kwanza hata hawajaandaliwa vizuri, mimi siwalaumu hata kidogo na nawapongeza kwa kufuzu hatua ya makundi, watu wako kambini wanapewa elfu 15, jiulize hela zote hizo zingine zinaenda wapi, lawama ziende wizara husika, baraza la michezo na Tenga na grupu lake hapo Ilala.
 
Umenena mkuu.
 
Kwa kweli hii Timu inatia kichefuchefu sana, timu imepoteza mvuto kabisa.Lawama ziwaendee makocha na wachezaji.Yaani haingii akilini huyu Mwalimu kuendelea kuwatumia akina Machupa na wenzie ambao wamechuja vibaya, hivi akina Kayuni ni maoni gani ya kiufundi mnayompa huyo babu?

Au ndio bora liende tu? Kama hamuwezi Kazi jiondoeni. Mnatubore sana.
 
Kwa kweli hii Timu inatia kichefuchefu sana, timu imepoteza mvuto kabisa.Lawama ziwaendee makocha na wachezaji.Yaani haingii akilini huyu Mwalimu kuendelea kuwatumia akina Machupa na wenzie ambao wamechuja vibaya, hivi akina Kayuni ni maoni gani ya kiufundi mnayompa huyo babu? Au ndio bora liende tu? Kama hamuwezi Kazi jiondoeni. Mnatubore sana.

Timu imekuwa tia maji tia maji.
 
Pekee yetu afrika mashariki tumeingia makundi kwa magumashi....timu tia maji tia maji..uliowapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom