TAIFA STARS: Tatizo kocha au wachezaji?

Mkuu tatizo ni wachezaji, hapa bongo hata aje wenger ama ferguson unadhani ndo tutacheza afcon ?.kinachotakiwa ni maandalizi ya academy za kutosha.mbona haohao makocha wakitoka hapa wanaenda kufanya vizuri sehemu nyingine?
 
ki Ukweli sisi hatuna Kiu ya soka....Kipindi fulani nilikua na Tinoco pale TFF...kwa maoni yake..anasema Uongozi haulewei na ndio maana akamua kuondoka...lkn akamwambia Kayuni..hakikisha hawa watoto wa COpa Cocacola ambao nimeenda nao Brazili..na wakashinda...na Pia South Africa...

Wachomekeni kwenye Timu za wakubwa ..pia wapewe nafasi..yaani iwe kama Sheria ndogo vile kwamba kila timu isajiri Under 18..wawe nao..na wawe wanapangwa..kuwapa Uzoefu..mpk sasa tungewa na Timu nzuri..matokeoa yake Ndio...haya sasa AIBUU

Si Yanga wala Simba..ambao wana KIU ya mafanikio...angalia usajiri wao...tazama Maandalizi yao....
Azam nao wameingia kwenye Mkumbo huo wa kutaka ubingwa wa haraka haraka...wamesajiri wachezaji wakigeni wote Maboya Tu....
.....Nitarudi Tena

Hatuja wekaza vya kutosha kwenye mpira ikiwa Mshahara wa Morihno wa mwezi mmoja unaweza kuedndesha ligi yetu kwa kipindi cha miaaka mitano unategemea nini hapo?
 
Hii timu baada ya kuchukuliwa na babu Jan Poulsen imekuwa kama homa ya kipindi,tunashindwa hata na Chad nyumbani?Tatizo mi silielewi kama ni kocha,mfumo au wachezaji wanaounda kikosi hicho.
Kweli mkuu....
 
Henry Joseph ndani,hivi huyu kocha huwa anawaza nini?Kwa nini asiwape nafasi makinda???
 
umesema nilichofkiria mimi, mara baada ya kusikia kamuita henry, ni bora angemuita kinda yoyote akapate uzoefu wa mechi za kimataifa.

Hata kama tunaitaka vipi hiyo nafasi ya 2,mchezaji anayetakiwa si huyo.Kwa sababu hajacheza kitambo na ni 'faza'
 
Hata kama tunaitaka vipi
hiyo nafasi ya 2,mchezaji anayetakiwa si huyo.Kwa sababu hajacheza
kitambo na ni 'faza'

Sijui katumia kigezo gani. Kocha jana amesema tz soka haliendelei kwa kuwa tz hakuna uraia wa nchi mbili, hivyo wanasoka wengi wanashindwa kuja kuichezea tz kwa kigezo hicho.
 
Basi na SMG naye aitwe............kazi kweli2...
 
Kaka embu tuambiane hapa kocha gani tulishawahi kusema ameweza kazi? Nakumbuka paulsen alovyoshinda challenge tulisema kocha mzuri ila leo hafai
...Mkuu Cheseo, Marehemu Zakaria Kinanda a.k.a Arigo Sachi alishafundisha Taifa Stars aliwahi kutamka wazi radioni kuwa wachezaji wa Tanzania hawafundishiki wengine inawezekana hatukumuelewa lakini sasa I can realize what he meant. Nadhani ile timu ingefutwa tu tujaribu michezo mingine.:Cry::Cry:
 
Mbali ya wachezaji,kocha pia ni tatizo,uchaguzi na upangaji wa timu ni mbovu sana.SASA TUMESHANYUKWA MECHI 5 MFULULIZO..,KUNA KITU HAPO?
 
Hii timu baada ya kuchukuliwa na babu Jan Poulsen imekuwa kama homa ya kipindi,tunashindwa hata na Chad nyumbani?Tatizo mi silielewi kama ni kocha,mfumo au wachezaji wanaounda kikosi hicho.

Kama Chelsea wamemrejesha Mourinho, Tanzania tumrejeshe Maximo. Ni aibu kufungwa na Gambia ikiwa nafasi ya 163 huku TZ tukiwa nafasi ya 128. Mwezi Septemba tutashuka kwa nafasi zaidi ya 20 hivyo tujiandae kuwa nafasi zaidi ya 148 katika rankings za FIFA. Poulsen aambiwe 'finito'.
 
Hili wazo ni zuri, pia Maximo alituachia wosia kwamba huyu kigagula wa Kigoma hafai, anashusha morali ya timu 'ANAWAGAWA WENZAKE' aliwahi kumzomea mwenzie Ivo Mapunda, lakini kuja tu kwa Kim akaitwa na kupewa unahodha.Wenyewe Simba walilina wakampiga chini..sasa hana timu lakini bado anaitwa na kupangwa,,si utani huu.
 
...Mkuu Cheseo, Marehemu Zakaria Kinanda a.k.a Arigo Sachi alishafundisha Taifa Stars aliwahi kutamka wazi radioni kuwa wachezaji wa Tanzania hawafundishiki wengine inawezekana hatukumuelewa lakini sasa I can realize what he meant. Nadhani ile timu ingefutwa tu tujaribu michezo mingine.:Cry::Cry:

tatizo hapa ni misingi hawana wachezaji ambayo ni kama kuusomea mpira darasani kisha kwenda kuufanyia vitendo uwanjani chukulia mfano mtu yupo timu ya taifa hajui kuna aina ngapi za pasi,uwanja umegawanyika zone ngapi,muda wa kupumzika sasa tunategemea mtu kama huyu aje kupambana na mtu aliye usomea mpira au kwenye football academy ndio amshinde au tufanikiwe kisoka
 
Yanahitajika mabadiliko makubwa sna aisee........
 
Back
Top Bottom