Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Kitana Le boss
 
Taifa la ny..ko

#MaendeleoHayanaChama
 
JF kuna sadist wengi sana Kaka. Mara nyingi wanajiona wanajua vitu vingi na wakishajua hawajui kitu ili kujifariji wanakuattack. Wazoee tu
Watu Wana wivu sana na ndo wanawakilisha tabia ya watanzania wengi
Kuna watu kibao wamemchukia jamaa ghafla na hawamjui
Jamaa namjua kiasi chake ni role model kwa vijana ni mpambanaji
 
Sidhani Kama umelazimishwa Uwa fahamu hii ni jamiiforum kila mtu yuko huru kuleta habari,
Acha husda, uvivu na uzushi havitakusaidia
 
Jamaa maarufu jamhuri ya Twitter... viongozi wote wa Twitter Tanzania walikuwepo kwenye harusi
 
Hii ndoa haitoboi mwaka.....Wako desperate na harusi kuliko ndoa kwisha habari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni huyu aliwahi fanya kazi ya Airtel kipindi cha nyuma like 2009 to 2010 Arusha ? Sikumbuki kitengo au namfananisha .
 
Hata siwajui. Nilisimama saa ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…