Taifa limechanganyikiwa?

Ufafanuzi wa mabehewa ya SGR ndio umenimaliza kabisa [emoji3][emoji3]
 

Hili la SGR ufafanuzi wake sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoa mada hunaga uwezo na weledi wa kupambanua na kijadili mambo katika uhalisia wake bali huongozwa na hisia zako tu binafsi. Umeandika fantasy yako tu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Vipato vya watu vimeongezeka vinaweza kimudu hayo unayoyasema bila shida yeyote..

Tzn ndio Ina inflation ndogo Sana kuliko Nchi Nyingi za Afrika
 
Hiki ndo kipindi wafafanuzi wamekuwa juu sana, ukubali ufafanuzi au laa wao washamaliza kazi.....
 
Umebarikiwa sana Eee Tanzania,

U pekee, Taifa pekee katika zama hizi za mwisho.

Israeli ataisikia Kutoka mbali, mbali huko ni Tanzania.

Kuchanganyikiwa Kwa viongozi ni dalili za kufika mwisho Kwa KIBALI Chao Kwa wananchi.

Kiti hicho kuu ktk Nchi atakaa mwenyewe kupitia mtumishi wake.

NURU kuu itaangaza tena Tanzania.

Aaaamen.
 
Fatilia kwa nchi za Africa Mashariki utagundua Tanzania inauza vyakula hata bando kwa bei rahisi sana
 
Naendelea kuwaambia, kama kuna mwanakutawala ama mwanakupinga haongelei upinzan kuongezeka bungeni hii nchi italiwa na wakutusemea hatakuepo, vyote mnavosema humu ,lile kundi la kula hiki kipindi liko huru kuanzia bungeni,mahakamani na mpaka setikalini, hiki kipindi litafanya juu chini kujenga mnala wa utajiri ili wa kulitiksa mbeleni asiwepo. Tuombe Mungu 2025 wanakulipinga wawe wengi sana, hili kundi ndyo litakua na simile otherwise Twaafwaa Byonkabyo!!
 
Mumesahau kua huyu JPM aliua visemeo vya wananchi kwa mtutu wa Bunduki.!!
 
Mambo ya hovyo sana
 
Wanzanzibara safari hii kazi tunayo!
Sasa Mkuu Mshana vipi uko kwenye vyombo vyenu vya asili hamjaliona hili suala la kurogwa ili tujue tunatokaje hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…