Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,774
- 8,103
Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu 😂😂😂. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!
Akiiba mnamchoma moto....Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu 😂😂😂. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!View attachment 2438673
Mkuu kwann uweke option ya kuiba? Mishe zipo za kawaida ingawa wengi hawazitakiAkiiba mnamchoma moto....
Mishe ndo kama hizo sasa... Uchawa kwa kwenda mbele...Mkuu kwann uweke option ya kuiba? Mishe zipo za kawaida ingawa wengi hawazitaki
Yupo dodoma na bango lake kubwa kaandika "KINA MAMA TUNA IMANI NA WEWE MAMA", chini kamalizia namba yake ya simu. Sauti imemkauka saa hizi kwa kuimba mapambio. Skuna imejaa vumbi, Tshirt ya kijani imelowa jasho na ndani ya nafsi akiomba dua zote japo aonekane.Ngoja tumuite raisi wa machawa atie neno
Lucas mwashambwa
Kudadeki zakeWazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!View attachment 2438673

Ngoja na mimi nitafute hela nije kuabudiwaC ndio 😂😂Kwamba geu
Kwa hiyo mkuu, baba Levo. Au basi, acha tuHapo akiombwa kijambio ni chap tu, na wanaoongoza kww uchawa ni wanaume, ushoga umetaradadi miaka 20 ijayo tutakuwa na taifa la ajabu sana
Pigia mstari hiyoKwa hiyo mkuu, baba Levo. Au basi, acha tu
Hakika ✔️Hapo akiombwa kijambio ni chap tu, na wanaoongoza kww uchawa ni wanaume, ushoga umetaradadi miaka 20 ijayo tutakuwa na taifa la ajabu sana
KbsYataka moyo
✔️Kwa hiyo mkuu, baba Levo. Au basi, acha tu
Mkuu sifa ni hitaji kubwa sana kwa baadhi ya matajiri.Wazee hivi hakuna namna ya kuishi tu hata kwa kipato duni ? Kweli mwanaume anajitoa ufaham angalau apate chochote kitu 😂😂😂. Mkulungwa Mushi hii sio sawa!!View attachment 2438673