Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,250
- 3,451
Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii
Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya Umma ukiongezeka na tumeona uzalendo wa Viongozi ukipungua.
Nini kifanyike?
2025 tunahitaji Rais ataerudisha heshima ya Taifa la Tanzania, tunahitaji Rais ataelipia hasara iliyotokea kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.