- Mkuu Lunyungu, ukisoma mada zangu za nyuma kuhusu hii subject ndio utaelewa kwa nini taifa tumekwama maana toka BCS siku zote nilikuwa na hii mada nikasema wanaofaa na wasiofaa, ndio maana huwa ninaipenda sana hii subject ukienda kule nyuma ukapata archives utaona wale niliosema hawafai wakachaguliwa anyways, hakuna nilipokosea! ha! ha!
- Dr. Slaa niwe mkweli sana, ninamuona makini sana kwenye role ya uongozi wa upinzani bado sijaweza ku-transform jinsi gani mawazo yake yanaweza kulisaidia taifa as a President, nina heshimu sana mchango wake kwa taifa, lakini hapa ninaongelea kiongozi anayeweza kulisaidia taifa letu likasogea mbele kuliko tulipo sasa! au badala ya Rais tu as usual!
Willie @ NYC, USA.
Kijana wa Cigwiyemisi, Unaziamini mahakama za Tanzania kwa kiwango ambacho Slaa anaweza kufungua kesi hizo na akashinda? Kama unaziamini hizi mahakama za huku kwa kiwango hicho nakusihi kwa unyenyekevu wote, fanya upya homework yako. Huyo Mtikila si unaona kesi zake zinavyochezewa mchezo mchafu? Ile kesi ya mgombea binafsi si umeona ilikoishia? Usijifanye huyajui magamba bana
nipo karibu, hongera kwa kuweka wazi msimamo wako, utakuwa mfano dhidi ya familia ya makamba, familia ya kikwete, familia ya nnauye, familia ya KARUME, familia ya MWINYI, waweza endeleza orodha ni ndefu. kwa sababu ccm imetufelisha, na waliotufelisha ndiyo hao hao mwakyembe, magufuli, sitta, membe, lowasa na ambao sijawataja hawana nafuu, hawawezi kupata ujasiri kuyatenda matakwa ya watanganyika ukipenda watanzania, ndiyo maana ili mbinguni paendelee kuwa patakatifu, ibilisi hakupakwa rangi, alifurushwa patakatifu, hali kadhalika ccm hawezi kutokea malaika kwenye ufalme wa mafisadi.- Ninaamini umenielewa kwamba mimi sigombei anything, otherwise karibu sana mkuu!Willie @ NYC, USA.
- Hapana mkuu, kama sio yeye a sitting Waziri Mkuu asingejiuzulu na mawaziri wengine Wawili, na kama sio Wapiganaji CCM isingejivua magambas, na Makamba angekua bado katibu mkuu mpaka leo!
- Infact, inapokuja kwenye matendo, Mwakyembe stands very tall ndani ya CCM kuliko wengine wengi!
Willie @ NYC, USA.
Hapo umepotoka niko kwenye jimbo lake hapa anatesa wananchi na nidikteta mkubwa hapendi kupingwa hata kama amekosea pia hana mawazo endelevu hatuwezi mpa mtu nchi kwa kuangalia kwamba anajua kuangalia sheria wakati hana mawazo endelevu tukishapata katiba mpya na utawala bora tutahitaji mtu mwenye uwezo wa kimikakati ya maendeleo huyu bwana hajui hata umuhimu wa njia ya lami hajui haja ya vituo bora vya afya wala umuhimu wa viwanda nchini anachojua nikutukuzwa kama mungu na kutawala wajinga ambao hawata mhoji wala kumkosoa hapo ukichanganya na chama chake itakua kiama nimetumia maneno makali kwakua sio mtendaji kabisa
Sasa mkuu we unadhani ikiwa CCM watashinda tena nani angalau atafaa kuwa rais kutokea CCM? Mtu aliyeonyesha kuwa ataweza kupambana na sysytem mbovu ya kulindana ndani ya chama ni Sita Walau amejaribu, the rest utata mtupuHapo umepotoka niko kwenye jimbo lake hapa anatesa wananchi na nidikteta mkubwa hapendi kupingwa hata kama amekosea pia hana mawazo endelevu hatuwezi mpa mtu nchi kwa kuangalia kwamba anajua kuangalia sheria wakati hana mawazo endelevu tukishapata katiba mpya na utawala bora tutahitaji mtu mwenye uwezo wa kimikakati ya maendeleo huyu bwana hajui hata umuhimu wa njia ya lami hajui haja ya vituo bora vya afya wala umuhimu wa viwanda nchini anachojua nikutukuzwa kama mungu na kutawala wajinga ambao hawata mhoji wala kumkosoa hapo ukichanganya na chama chake itakua kiama nimetumia maneno makali kwakua sio mtendaji kabisa
Mkuu be honest, unamashaka gani na DK Slaa kuwa hatufai kuwa rais wetu
Nakuhakikishia hata CDM wakichukua nchi watafuata matakwa ya viranja asilimia 100.
Muulize Gadafi ndio anajua nini maana ya viranja wa dunia.
Hata hivyo yale yalikuwa maoni yangu tu mkuu
Nje ya ccm unahisi nani anafaa kuwa raisi?
au topic yako ni tuongelee wanaofaa kugombea uraisi kupitia ccm?
- Aliposema Mangula ni fisad maana ninamfahamu sana Mangula na maisha yake ya sasa as opposed na maisha ya mafisadi wa kwelii, alinikatisha tamaa sana; ingawa ninaamini akipewa nafasi za uwaziri unaosimamia dola anaweza kulisaidia taifa!, basi sijaamini kwenye Urais!
Willie @ NYC, USA.
- Ushauri wangu siku zote ni kwamba Dr. Kitila na Mkulu wangu Mwanakijiji wapewe nafasi huko ya kujitayarisha kushika nafasi kubwa mbele ya safari, lakini kwa sasa level ya Uwaziri Zitto, Lissu, wanafaa sana isipokuwa ninatatizwa sana na Urais kwa waliopo sasa huko CDM na ni mawazo yangu tu!, sio lazima yawe sahihi, lakini ninatatizwa sana na kwenye Urais!
- I mean CDM hamjafanya collective serious thinking ya kumtayarisha Rais wa 2015 na sitaki kuamini kwamba mnategemea mabaki kutoka CCM, mkuu hili linanitatiza sana!, kwa sababu kwa walipo sasa CDM, CCM itashinda Urais bila tatizo sana!
Willie @ NYC, USA.
Inawezekana kabisa kuna watanzania wenye uwezo zaidi ya Dr. Slaa lakini kinacho wa ponza ni uoga. Hivyo Dr. Slaa anabakia kuwa chagua langu kwa sasa
So mzee nae kwenye mabilioni ya BOT..........., yes nakumbuka hata Dr Slaa aliwahi kumsema, ndio maana W@NYC anasema Dr Hafai, anajua anaweza kuwachukulia hatua wote walioshiriki kutuibia, sasa naanza kumuelewa W@NYC being anti-Slaa.mkuu hivi anachikijua Dr.Slaa dhidi ya mangula lazima na wewe ukijue? wkt yale mabilioni ya B.O.T kwenda kagoda yanachotwa kwa ajili ya kuisaidia CCM kushika dola, ni nani alikuwa katibu mkuu? una kila sababu ya kumfahamu undani wake coz wakati akiwa katibu mkuu, mzee alikuwa makamu mwenyekiti bara.
So mzee nae kwenye mabilioni ya BOT..........., yes nakumbuka hata Dr Slaa aliwahi kumsema, ndio maana W@NYC anasema Dr Hafai, anajua anaweza kuwachukulia hatua wote walioshiriki kutuibia, sasa naanza kumuelewa W@NYC being anti-Slaa.
- Mh. Ben Membe: anafaa sana kuwa Rais na Waziri Mkuu pia 2015; kwa sababu ni msomi, mfuatiliaji, mtendaji, anajali sheria, na ni mkali sana.
Willie @ NYC, USA.
Kinachoonekana hapa ni kupiga chapuo. Ngoja tuwe wakweli bila kumun'unya maneno, hakuna mtu aliye ccm leo anayefaa kuwa Raisi wala waziri tena baada ya 2015. Tunahitaji kubadili mwelekeo kama ccm walikuwa wanatupeleka magaharibi basi tunahitaji Raisi na mawaziri watakao sema nyuma geuka mbele tembea yaani kuelekea mashariki. Mpaka sasa wapinzani ndiyo angalau wanaonekana wanaweza kufanya hili, tumeshudia bungeni, tumeona dhamira zao kwa vitendo hivyo ni bora ku risk kuwapa nchi wapinzani kuliko kuendelea kwenda shimoni na haya magamba period- Mkuu jiulize CCJ ilikufaje sio ilianzaje!, Mwakyembe ni kiongozi mwenye uthubutu ndio a sitting Waziri Mkuu aliishia kujiuzulu, unaijua hoja ya Dr. Slaa iliyoishia kuomuondoa kiongozi yoyote kwenye taifa?, maana hoja ya Mwakyembe ilimuondoa Waziri Mkuu na Mawaziri Wawili pamoja kwa wakati mmoja! Willie @ NYC, USA.
Rais: Yusuph Makamba
PM: Tambwe Hiza
Mawaziri: Ngeleje, Kawambwa, Kalamagi, Rostam, Maji marefu, msabaha, nk
Sababu: Trend inaonyesha jinsi tunavyobadilisha awamu za uongozi ndio tunavyozidi kupata viongozi dhaifu.